Recent content by redcarpet

  1. redcarpet

    Wale mnaomiliki TV za flat screen piteni hapa muokoe tv zenu

    Hii issue ya umeme kupanda na kushuka ni kweli, siku hizi umeme unazima zima Sana. Nina stabiliser na tv yangu imekata ghafla tu hakuna picha ni audio tu sijajishuhulisha nayo lkn najiuliza ni umeme? Au ni yenyewe tu! Vifaa vya umeme ni pasua kichwa sometimes Sent from my M2101K6G using...
  2. redcarpet

    Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    Swali hili limenilenga mimi, kiukweli mvi niliota mapema sana, naingia form one 1990 nilionyeshwa kuwa Kuna mvi kichwani mwangu sikuamini, nilimwambia aingoe nione dah ilinikera Sana Sasahvi simetapakaa karibu kichwa kizima naitwa babu[emoji3][emoji3] ni mwendo wa super black tu Huko nyuma...
  3. redcarpet

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Njoo nikupe kwa 400k Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
  4. redcarpet

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Na mmi kwenye note 10 pro nashindwa kutumia upande WA OTG Nilipohama kwenye Samsung s10e nilikuwa natumia vzr Sana Ukisoma specification kwa redmi note 10 pro ipo Siku hizi nimekwama sna kwenye mambo ya movie na baadhi ya documents zangu kuzihamishia kwenye flash
  5. redcarpet

    Ushirikina katika ngono na Manii

    Ni story ndefu Sana mkuu Lkn ssi binadamu hasa tunaozaliwa ndani ya familia za kikristo sio rahisi kuamini kuwa baadhi ya vitu hasa umaskini, maradhi, Vifo na hata kupoteza kazi vinasababishwa na uchawi au ushirikina. Uchawi= ushirikina ktk familia yetu tunatoka kwenye familia ya kawaida tu...
  6. redcarpet

    Ushirikina katika ngono na Manii

    Uchawi na ushirikina sikuwahi kama nitakuja kukumbana navyo Nimenusurika ajali zaidi ya tano Mke nilieoa nikaishi nae miaka zaidi ya kumi Sikuweza kuchepuka Siku nilipoweza kuchepuka hapo ndio nilijua mke wangu na baba mkwe ni watu wa aina gani Ni mwaka sasa lkn niliyoyashuhudia ni hatari Chini...
  7. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Ni kweli sema made in Korea bei zake sio za walalahoi
  8. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Zoezi la kwanza badilisha cable ya HDMI ondoa hzo za zamani Check picture setting
  9. redcarpet

    Utapeli mpya kwa wafanyabiashara

    Usiache mzigo bila hela
  10. redcarpet

    Utapeli mpya kwa wafanyabiashara

    Wewe ndio boya Unamtuma boda mpe maelekezo vzr kuwa asiache mzigo bila kupewa hela Hana pesa rudisha mzigo. Full stop
  11. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Hizi smart TV Zina built in apps kama YouTube, Netflix etc ambazo ili uzitumie lazima u connect na internet ya simu sema bongo bando mtihani
  12. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Nabukinnua hakikisha upande wa smart unafanya kazi vzr kuanzia WiFi na mirror cast
  13. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Smart TV za mchina ni pasua kichwa bora ujibane bane unnue mkorea hapo utatulia
  14. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Flat tvs ukikaa nayo miaka 10 uza mwingine akatumie mingine mi5 zaidi ya hapo ni wewe na fundi
  15. redcarpet

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    T corn ni kidhibiti cha saa hutafsiri Kati mawimbi ya kawaida ya video na ishara mahususi na kiendeshi cha safu MLALO na safu vinahitajika na panel mahususi ua LCD au nyingine
Back
Top Bottom