Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

Kwa mafundi ukienda tv na sub woofer brand za mchina n nying munooo.... ALWAYS CHEAP IS MORE EXPENSIVE
 
Kumbe ni tatito la smart Tv, nilijaribu kuperuzi mitandaoni kuna sababu kadha za kutokea sijui na mambo ya umeme yakiwepo, ipo kwenye guarantee nimeirudisha
Smart TV za mchina ni pasua kichwa bora ujibane bane unnue mkorea hapo utatulia
 
Ushauri wangu nunua tv nyingine. Hizi flat screen zikianza hivyo utapoteza hela kwa mfundi. Ina maanisha imefika mwisho.
 
Huko kwenye Wifi bado sijatumia, sijui ufanyaji kazi wake
Hizi smart TV Zina built in apps kama YouTube, Netflix etc ambazo ili uzitumie lazima u connect na internet ya simu sema bongo bando mtihani
 
Wakuu yangu ni LG imepoteza ile qualit ya mwanzo yani tv ilikua ukiangalia movies au chochote kile kioo kilikua kinang'aa ila saiv imefifia tatzo hapo linaweza kua nn

Msaada
 
Gharama zake ni Tsh ngapi
Nilitumia 40,000 wakaweka mikanda mipya, ila iikazingua tena. Nimetumia 2yrs.

Nimeamua kuachana nayo, nimenunua ingine...hii ikizingua tena asee nitapumzika kukaa na Tv kwa muda, au nitarudisha chogo langu, nililinunua tng 2012 mpk leo linadunda tu!
 
Kuna mdau anasema Tv za kikorea ni nzuri kuliko za kichina
 
Wakuu yangu ni LG imepoteza ile qualit ya mwanzo yani tv ilikua ukiangalia movies au chochote kile kioo kilikua kinang'aa ila saiv imefifia tatzo hapo linaweza kua nn

Msaada
Ngoja tusubiri wataalamu waje
 
Wakuu yangu ni LG imepoteza ile qualit ya mwanzo yani tv ilikua ukiangalia movies au chochote kile kioo kilikua kinang'aa ila saiv imefifia tatzo hapo linaweza kua nn

Msaada
Zoezi la kwanza badilisha cable ya HDMI ondoa hzo za zamani
Check picture setting
 
Back
Top Bottom