Kwahiyo unataka kusema ukiwa mtumishi wa umma uwe typical mtumishi usijihusishe na biashara yeyote yakukuingizia kipato cha ziada nje ya mshahara wako?
Sasa kama unatengenezewa mazingira ya kutokufanya biashara yeyote nje ya kazi ulio ajiriwa ufanyaje mkuu si bora ubet litakalo kua na liwe hatakama huna uzoefu na biashara yeyote uache tu kazi..!
Kwakweli si ungi mkono walimu wakuu kupewa adhabu pasipo kufuata taratibu za kiutumishi..Lakini wewe kama mzazi upo comfortable kusikiliza au kuangalia video za mziki ambazo zina maudhui ya kingono?
Zingatia ushauri huu utakusaidia yaani jaribu kidogo kupigania ulicho kisomea walau ukakifanyia kazi hata kwa miaka miwili kitakupa experience ambayo itaku guide kwenye hio new expectation..
lengo la mwl wenu anataka awatrain kua na speed kubwa Ili mkifanya mitihani wa joints like mocks,pre nectar, even necta yenyewe muweze kumaliza kikamilifu coz ina duration ya 3hrs..So mkiweza kumanage 2.5hrs kwenye mazoezi ya darasani mtakua na advantage ya half hr kwenye mitihani ya mhimu...
Jaribuni kuplan rotation nzuri ya wachezaji kung'ang'ana na wachezaji flani lazima waanze aka first eleven never change itawagharim..eti lazima kibu aanze Kila game. Subirin trh 5 tunajipigia TU🤣
Hapo kwenye kuichezesha isiwe continuous ni uongo..labda uwe unakojoa na kukata mkojo still haita saidia..Kojoa kwenye choo safi that is the only solution..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.