Acha kukariri mawazo tumia akili!
Alshababu, boko haramu, alqaida( na mauaji yake ya September 11, 2001), wale wanaojitoa mhanga kwa kuvaa mabomu, wale wauaji wa kule Msumbiji, nk.
Kwa tabia hizi hata kama akiwa mtoto wako hutampenda( Kwahiyo, kinachochukiwa hapo ni tabia siyo dini).
MBAYA...