Recent content by Rebo's

  1. R

    Muda mwingine unaweza kupata hela kirahisi sana jaribu hii njia sitanii!

    Get your online Job today and make huge money now online up to 300$ per day with very easy job tasks! | moneytreet.com
  2. R

    kaka yako ana mke wingi je nipe jibu

    Ukifuata sheria za ngeli unatkiwa kusema 'kaka WAngu wameo',,, kwa kua ngeli ya YU-A-WA tu! Ndo inayotumika kwa binadamu na baadhi ya viumbe hai vingine.
  3. R

    KUTOKA HESLB: Wote tuliokosa mkopo tutafanyiwa screening tena.

    Tuweni wavumilivu sote tuliokosa, me kunam2 aliniambia wale mwaka wa pili na kuendelea majina yetu yatatumwa vyuoni moja kwa moja.
  4. R

    window phone inauzwa

    Ni bonge bonge la simu aina ya Samsung; kwa maelezo nipigie 0653616244
  5. R

    Maandamano IFM

    pole sana kwa ifm! Pole zaid kwa hao wanaume waliobakwa!
  6. R

    Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

    Hapa CBE Dar nshamaliza usajiri, hostel za ndani nimekosa! So nasaka kitaa na sina boom ntaweza?
  7. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    Ahsante sana kaka nawengine wote mnaoendelea kunipa moyo na ushauri. Napenda kusema kwamba nyinyi ndo rafiki zangu waukweli kwani rafiki zangu wameanza kukaa mbali nami coz nimekosa boom! Ila ntafuata ushauri wenu. Thanx all!
  8. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    namwachia mungu!
  9. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    nina div two ndg yangu ya 11.
  10. R

    jaribuni kuwa na subira ndugu zangu

    Anyway! Ngoja 2subir But tui la kwanza! yapili maji!
  11. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    Habari zenu wadau mnaofurahia kupata mkopo na mnaosikitika? Mi nipo kwa wanaosikitika japo sio wengi sana ila naungana nao sababu na mi nimekosa mkopo! Jamani maumivu ni makali sana bora ningefeli2 sahv ningeshajpanga ktambo. Sjw hata la kufanya coz mi ni mtoto wa mkulima. 2peana hata ushaur!
  12. R

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    2nasubir kwa hamu mkuu! Huku 2kitegemea yote mazur na mabaya!
  13. R

    Walio Kosa Mkopo na Majina Hayapo wanahatima Gani Chuoni??

    kwel ww ni gt! Namba 3 inawezekana sn 2ckate tamaa.
  14. R

    Wanajamvi tu-enjoy na hii kitu.

    Simply because I have enjoyed with this thread It doesn't mean I have forgotten about heslb!
  15. R

    Wanajamvi tu-enjoy na hii kitu.

    simply bcoz I was admitted at cbe it doesn't mean I'm kilaza!
Back
Top Bottom