Walio Kosa Mkopo na Majina Hayapo wanahatima Gani Chuoni??

Sep 18, 2012
15
0
Mimi ni Junior User wa jF bt Napenda jua bodi ya mkopo itachukua hatua gani kwa hao waliokosa mkopo na majina hayapo au ndyo wamelamba Joker jamani?? pIA lIST YA WANAOTAKIWA KUFANYA MAREKEBISHO ITATOLEWA LINI @jF PEOPLE
 
Hapo huenda ndio mwisho ila kama mtu hauridhishwi nasikia kuna utaratibu wa kukata rufaa hapo hapo bodi ya mikopo.

Ila kwa uzoefu wangu huo ndio uamuzi wa mwisho wa bodi vinginevyo wanachuo muanzishe timbwilitimbwili(mgomo na maandamano) labda siasa zitaingilia kati mkalamba mkopo.

Swali kuu la kujiuliza ni vigezo gani vimetumika kukunyima mkopo au kuwapa wengine mkopo?
 
Umeona eeh!!! bt kuna list ya watu 600 watakiwa warekebishe lbda nipo hauwezi jua ya Mungu mengi
Kama unaona unasifa stahiki halafu wanasema kuna reserve ya watu 600, ndugu yangu hapo sio kusubiri tena hapo ni kuwahi ofisi za bodi ya mikopo mapema na kulianzisha mwenyewe, maana kunakuchakachuliwa na jina lako kama lipo akapewa mtu mwingine faster.
 
kama mtu umekosa mkopo nikutafuta namna nyingine ya kujisomesha tu kwani mambo huwa magumu sana vyuoni esp vile vya mjini.. nikupambana na kile mzazi atakachokupa na pole zaidi kwa wadada kwani wengi ndio wanaumia/umizwa!
 
Public sector accounting and finance investigation
Hiyo ni kozi ya biashara, uwezekano wa kupata mkopo ni fifty-fifty sana, kwa sababu kuna watu wengi sana wanadahiliwa kwenye kozi za biashara hivyo ushindani ni mkubwa sana unless labda ungekuwa na division one ama kama ni female!!

Yote kwa yote fanya haya kulingana na mfuatano(Descend order):

1/Chunguza kama kuna watu wenye sifa kama zako na wamepata mkopo ili ujenge sababu ya wewe pia upewe mkopo.

2/Fuatilia hizo 600 reserves chances ofisi za bodi ya mikopo maana huenda na wewe umo.

3/Fikiri kukomaa kibishi bila mkopo kwa namna yoyote ikibidi wazee nyumbani wale bamia mpaka ziote tumboni lakini kijana wao upate elimu ya chuo kikuu!!

4/Fikiri kubadili kozi kama inawezekana na kama itakupa nafasi ya wewe kupata mkopo.

5/Jiandae kuwahamasisha wanafunzi wenzako kwa ajili ya kufanya mgomo mkubwa sana ambao utapelekea wewe kupata mkopo au kufungwa chuo!!

6/Kubali kwa masikitiko makubwa sana kurudi nyumbani kwenda kufanya issue nyingine za kimaisha.
 
kwel ww ni gt! Namba 3 inawezekana sn 2ckate tamaa.
 
Back
Top Bottom