Bora kufeli au kukosa mkopo???

Rebo's

Member
Aug 23, 2012
31
2
Habari zenu wadau mnaofurahia kupata mkopo na mnaosikitika? Mi nipo kwa wanaosikitika japo sio wengi sana ila naungana nao sababu na mi nimekosa mkopo! Jamani maumivu ni makali sana bora ningefeli2 sahv ningeshajpanga ktambo. Sjw hata la kufanya coz mi ni mtoto wa mkulima. 2peana hata ushaur!
 
mimi nimekuelewa lakini pangilia lugha vizuri ili upate ushauri kwa watu wengine pia.. kukosa mkopo ni maumivu sana kama ulitegemea kupata na ukawa umekosa lakini usikate tamaa kwani unaweza jipanga ukatafuta pesa then ukasoma next time vyuo vipo tu tena utasoma kitu roho inapenda
 
kuwa mvumilizu ..mchuma janga hula na wa kwao ,,hivi unafikiri kuwa watu wote duniani wamesoma kwa mikopo/? una div ngapi? tuwasiliane tuone jinsi ya kukusaidia kama kweli umefaulu
 
Nacho weza kukushauri ni kwamba usikate tamaa mapema pia kumbuka kufaulu kwanza mikopo ngio inafuatia, so jaribu kuchangisha ndugu jamaa na marafiki ili upate kusoma, kama ikishindikana mtafute mbunge wa jimbo lako na umuelezee hali halisi ya kifedha ulio nayo nina uhakika atakusaidia
 
kuwa mvumilizu ..mchuma janga hula na wa kwao ,,hivi unafikiri kuwa watu wote duniani wamesoma kwa mikopo/? una div ngapi? tuwasiliane tuone jinsi ya kukusaidia kama kweli umefaulu

nina div two ndg yangu ya 11.
 
for real inauma,mi sioni haja ya mtu kupata 100% wakati wengine wanakosa kabisa ni bora tungegawana shida ila wote wanasoma ila mungu anamipango yake mkuu mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguliwa na hiz ndo challenge za maisha mkuu so usikate tamaa!
 
Wewe ni shujaa, rafiki zako na majirani wanajua kuwa ulifanya vizuri sema sasa ni ukiritimba wa serikali yetu na ahadi kedekede
 
kaka pole sana na wala usikate tamaa!! mimi nw naingia mwaka wa pili na mwaka jana nilikosa mkopo ilihali nilipata division 1 ya 9 na form 4 nikapata div 1 form 4 na nilisoma shule za serikali!! na maisha yangu yanaendelea chuon kama kawaida, cha msingi we jipange usome!
 
Ahsante sana kaka nawengine wote mnaoendelea kunipa moyo na ushauri. Napenda kusema kwamba nyinyi ndo rafiki zangu waukweli kwani rafiki zangu wameanza kukaa mbali nami coz nimekosa boom! Ila ntafuata ushauri wenu. Thanx all!
 
pole sana kaka tuko pamoja hata mi nimekosa ilhali nimepata div 2 ya 12 ila amini mungu bado yupo upande wetu. hivi nasikiasikia tu kuna batch 2 ila sijaipata hata mimi pia unaweza kujaribu hlssf maana huwezi jua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom