Recent content by rebkim

  1. R

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Ww pimbi hujui ninaeandika ni nani na nipo wapi ninafanya nn,mm sio mwanasiasa na sishindi jf kama ww, pumb... ...... ako.......
  2. R

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    And he is so poor in leadership,hawezi uongozi,na tatizo nadhani ni kua na akili nyingi sana so hua hajui kuishi na wafanyakazi vizuri na haambiliki.
  3. R

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Barclays kulikua na wezi sio mchezo,credit hasa corporate credit & recovery,finance na huyu bade,akili jamaa anayo ila ni kweli mwiziiiiii......
  4. R

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    Mkuu Pasco Nakuheshimu sana ila katika hilo la kusema watu wana wivu wa kike umechemka,hapa watu wana question vitu kutokana na reality,umeona wengine wamesema mpaka uwezo wake wa darasani nk,pia mkono alitajirishwa na system mbovu ya serikali,soma historia yake,pili kuna kesi nyingi tu...
  5. R

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    ?????????????????!?!!!!!!!!!!!!!!!¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿ badilika wewe kwanza.
  6. R

    Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

    Kwani ww huna wasanii au watu maarufu unaowasifiaga?au hua anamsifia/anamtaja wkt unampa mkopo wa lotion?kama anamtaja au kumsifia wkt wa kujadili katiba mpya mkiwa kitandani,hapo ujue ana yake na u have to be worried,otherwise,sio issue kwani hata ww yawezekana unamsifia solo thang na Rah P kwa...
  7. R

    Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA)2014 Live Updates

    Na nyimbo zake za mipasho,sijawahi kupendaga nyimbo yake labda aimbe chorus,hapo nampenda sana,lakini sijui yahaya,wanaume kama mabinti,hazichezeki na zinaniboaga kuzisikiliza.
  8. R

    Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

    jf kuna vibaraka sana wa wakubwa,watu wakihoji,linatokea nguruwe pori linalojiita great think humu jf kuanza kusema ooh majungu ooh nini,mtu anauliza vitu vya msingi mnabeza,ndio maana hii nchi inakwisha,ni kweli huyo ndie MZERU,alikua anatumiwa na wakubwa kuiba mali za watanzania,sio tu...
  9. R

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Nashukuru kwa kunisahihisha,ila jamaa alikua kawekeza,huku chanika alikua na mijengo mno na kama kawa bwana,mabosi wa kibongo hua mwiba kwa wafanyakazi,wafanyakazi wa jamaa wengi hawajasikitishwa na kifo chake kwa sababu mishahara alikua anawazungukazunguka,ila alikua radhi kuwanunulia mapombe...
  10. R

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    alipostukia kua kuna watu wanamfuatilia baada ya kupata mzigo pale uwanja wa ndege,akaamua kutaka kutoroka kwa gari yake, sasa wakati anatoka,foleni ya kuingia nyerere road ndio iliharibu,katika harakati za kujiokoa akatanua,bahati mbaya gari ikakwama pembezoni mwa barabara katika kamtaro,hapo...
  11. R

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    wakuu,huyo alikua ofisa wa usalama wa taifa marehemu mzelu,yasemekana wabaya wake aliwastukia toka uwanja wa ndege alipokua anapokea mzigo,ni noma,alikua katika kitengo cha madawa ya kulevya,huyu jamaa alikua tajiri mno,ila inasemekana wakubwa walikua wanawekeza kwake,maeneo ya chanika jamaa...
  12. R

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    tatizo la hii nchi ni uwajibikaji na kutomjali mtanzania wa chini kwa makusudi,usikute pesa zimewekezwa katika miradi ambayo return yake ni ya muda mrefu sana na ni return yenyewe sio quick enough,au wamekopeshwa wafanya biashara walioiweka madarakani serikali kama fadhila kwao,au sababu zingine...
  13. R

    Serikali 2 sasa wahamia kwa wanafunzi vyuo vikuu

    kula pesa,halafu unabaki na msimamo wako,wacha walete hiyo pesa.
  14. R

    UKAWA wadaiwa kurudi bungeni na kusaini posho!

    nani anaewajibika,hao wamama zenu wenye matusi utadhani yamebandikwa usoni kwao?
Back
Top Bottom