Recent content by RealTz77

  1. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu na kuvimba kwa vifundo vya miguu

    mkuu hii ni sahihi? hata mimmi nina tatizo hilo sana sana!
  2. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa

    Unayo ya diesel Manual Trans, 4200cc (year 1998- 2002 almost)? Amazon type. 100 series?
  3. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bidhaa toka UK/japan tafadhali tuwasiliane

    Hi Wanajamii, nafahamu humu tumesambaa Dunia nzima, sasa leo naomba kama kuna Mzalendo yupo UK au Japan , na anasafirisha mizigo or kufanya biashara UK/Japan -Tz aniinbox nataka kuagiza bidhaa flani toka huko, tutaongea zaidi inbox kuhusu gharama km collection, shipment etc. Natanguliza shukrani
  4. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Mdau alieko UK/Japan tafadhali

    Hi Wanajamii, nafahamu humu tumesambaa Dunia nzima, sasa leo naomba kama kuna Mzalendo yupo UK au Japan , na anasafirisha mizigo or kufanya biashara UK/Japan -Tz aniinbox nataka kuagiza bidhaa flani toka huko, tutaongea zaidi inbox kuhusu gharama km collection, shipment etc. Natanguliza shukrani
  5. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Ninapokea Usd485 Leo ndani ya siku nane tu, jitahidi na wewe!!

    hii ni dunia soft kaka, utapoteza nini ukijaribu? LAbda kwa wewe ni hela ndogo sana kupata kamillion kwa mwezi acha walalahoi tukimbizane nayo!
  6. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Ninapokea Usd485 Leo ndani ya siku nane tu, jitahidi na wewe!!

    nimesharekebisha click mwana, uanze kazi ule mshiko fasta
  7. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Ninapokea Usd485 Leo ndani ya siku nane tu, jitahidi na wewe!!

    why unakaa tu? unafanya kazi ya online amka, nitapost payment yangu nkishaichukua
  8. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Ninapokea Usd485 Leo ndani ya siku nane tu, jitahidi na wewe!!

    Click hiyo link hapo mkuu ni kweli wanalipa ila uwe busy basi
  9. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Ninapokea Usd485 Leo ndani ya siku nane tu, jitahidi na wewe!!

    click that link am getting my first payment today (usd 485) through western union, not bad deal after just 8 days , my week end is taken care of why not you? http://jobrize.com/index.php?ref=450601
  10. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji iphone 6-64gb and above, pia Samsung Note 4 (prefferably Edge)-Budget yangu 2.2m kwa zote, ziwe original hata kama used lakini in good condition pia muuzaji awe tayari tuzicheki kuwa hazijakwapuliwa !!
  11. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    sasa naona mnayumbishwa mnaacha kufuatilia sera na kujadili sera za vyama vyenu, tafadhali msahauni Slaa na ----- wake, hata mimi mnazi wa CCM kaniudhi kuwa so cheap na ordinary old accusations! so hastahili mjadala kanyaga twende!!
  12. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    Jimbo lenyewe Ubungo atii, duh, kweli ana malezi makengeza, anyway kwani hakuwa na influence ya kuepuka kutokuwa na akili mgando
  13. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    wengi basi mpo ktk payroll ya mange, alipokuwa police hamkutokea why? nyapuzz tu
  14. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Hataki kufanya mapenzi na mimi, mwaka wa pili sasa nipo nae

    Hey wanaJF, Naombeni ushauri, nimeoa (japo complicated) nina watoto wawili, sasa nimekuwa na niuite mchepuko (ili ieleweke), sasa yapata mwaka wa pili huu, namhudumia kila kitu almost na akiwa na shida ananiambia nimsadie, ananipenda sikatai nami nampenda, shida ni kwamba hataki kabisa...
  15. RealTz77

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu Mwalimu wa Music au chuo cha music

    Asante, nitaitafuta hiyo Liwiti Tabata, much thanks
Back
Top Bottom