Nahitaji bidhaa toka UK/japan tafadhali tuwasiliane

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
41
Hi Wanajamii, nafahamu humu tumesambaa Dunia nzima, sasa leo naomba kama kuna Mzalendo yupo UK au Japan , na anasafirisha mizigo or kufanya biashara UK/Japan -Tz aniinbox nataka kuagiza bidhaa flani toka huko, tutaongea zaidi inbox kuhusu gharama km collection, shipment etc.
Natanguliza shukrani
 
ungeweka wazi hicho kitu au bidhaa yako watu wangekushauri mkuu ufanyeje ukipate uk na japan wengi wanaagiza
 
Back
Top Bottom