Comments nying ni wasikilizaji wa BBC na CNN... Laiti ungekuwa unajua vikwazo alivyo wekewa Iran kwa miaka mingapi na wameishi vipi? Mngewaheshimu uzalendo na akili kubwa waliyonayo waajemi.
Vijana wengi wekeza kwenye skills specific na kuziweka officially, kuna wasomi wengi hawaoni fusra. Hiyo ndo chance ya kupunguza umaskini. Tender za ufundi nying kwenye miradi ya serikali na tasisi binafsi zipo iddle wavaa suti hawaziwezi.
@@@
Demokrasia ni rahisi sana kupandikiza vibaraka, Tanzania inatakiwa iwe na mfumo wake na maono au sera za long term ambaye yyote atakae ingia aendeleze. Na cashflow ya mapato iwe wazi. Yaani hata Samia akitoka awekwe Lisu sidhani kama kuna jipya.
Mfumo wa demokrasia hujawai kuleta maendeleo ya kweli kwa mwanachi. Nitajie nchi mbili tu duniani zenye demokrasia zimeleta maendeleo kwa wananchi wake??
Jibu ni HAMNA.
Ngumu sana watu weusi wengi ni masnitch na wenye tamaa... yaani kigeu geu. Hii vita ya kujikomboa ni ngumu sana. Mzungu katuondolea uasili wetu na tumecopy kwao.
Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza.
Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.