Recent content by Realboynicky

  1. R

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ukiwa usingizini?

    IPO ila technically sleep paralysis unatokana mwili kufa ganzi unapolala na unashindwa kuamka na haisababishwi na ulalaji mbovu
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Msichokijua lissu ni team msoga toka kitambo tu na alitumika barabara kumshambulia magufuli enzi zile na alimchafua vilivyo. Sasa this time anaendelea kuplay part yake kwa kuwapoteza chadema kwenye uchaguzi wake 2025 isishiriki ili ccm waendelee kulitawala bunge kwa miaka mingine mitano. Huyu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Musiba ashangaa kukatwa CCM: 2020 nilikuwa nafasi ya pili kura za maoni, 2025 nimeonekana sifai kabisa?

    Laana alimtapeli membe zaidi ya 1billion mpaka umauti unamkuta. Huyu mshenzi acha akatwe
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Ni PM kama uko serious
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mjue mammon wa nguvu ya tamaa ya utajiri

    Kujua life path chukua tarehe yako rasmi ya kuzaliwa then jumlisha namba zote upate namba moja. Mfano umezaliwa June 24 2025. Utachuku 24/06/2025 utajumlisha namba zote (2+4+0+6+2+0+2+5) utapata 21 Kisha utaijumlisha tena 21 kupata (2+1)=3. Basi hiyo Tatu ndio life path yako. Ili kupata nyota...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Endeleeni tu kuichafua dodoma ila this time mmefua dafu tunajua mnadanganya 😂😂😂😂 hii ni Dodoma na sio dampo la taka kama dar
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

    Sio kweli
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

    Hujui kama kuna mgomo baridi kuhusu maendeleo ya dodoma,Hujui kama kuna watu hawataki maendeleo kuletwa dodoma.unajua kuwa ile budget ya uwanja wa samia Arusha ilikitakiwa iwekwe ijenge dodoma. Huko maendeleo yanapelekwa kishingo upande wanaihujumu kimakusudi Dodoma. Hata ule uwanja wa Ndege wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea Samaki Samaki Masaki?

    Nimeona wachina wengi sana samaki samaki kuna ishu gani inaendelea?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

    Hiyo hapo. Halafu acha kuendekeza hisia kwenye ukweli najua unaupenda uislamu lakini kubali kwamba hamko wengi hii nchi mmerudndikana pwani tu.
Back
Top Bottom