Recent content by REAL PEOPLE

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ya watanzania yako Dodoma
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo mengi ya wa Tanzania yako Dodoma
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    kiongozi safi saana umeonyesha njia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Makongo High School karibuni

    Miraji noma,kipingu na babu chacha siwezi kuwasahau.mimi ndiye nilyepanda michongoma mwaka 1993 inayozunguka eneo la shule.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Makongo High School karibuni

    Haha mkuu uenkmbusha mbali saana ,afane miraji, Babu pale getini,siwezi kusahau niliushwa kichura ktoka Darajani hadi getini kesho yake hoi magoti yaliuma ile mbaya .
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Muundo wa Muungano wa serikali mbili unawezekana.

    Tanganyika kwanza
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunakwenda Kalenga Kushinda Uchaguzi, If and Only If…

    Umakini mkubwa unahitajika huko kalenga
  8. R

    JamiiForums Tanzania TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    Hizo kodi zote zinalipwa na mlaji,mfanyabiashara ni mkusanyaji tu,waache uongo lipeni kodi kwa manufaa ya taifa
  9. R

    JamiiForums Tanzania TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    Kariakoo uwezo wao ni mkubwa tu wakuweza kununua EFD pango milioni mashine 600,000/= halafu wanasema hawewezi waache uongo,patola shs 38,000/= utawezeje kupanga chumba cha milioni?
  10. R

    JamiiForums Tanzania TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    lipeni kodi BWANA
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Back
Top Bottom