Recent content by real CAG

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda Valhalla

    Bartazary
  2. R

    JamiiForums Tanzania Annual increments

    Serikali wapeni watumishi stahiki yao ya Annual increment kama ilivyo kwenye mikataba.Mpaka mwezi huu unaisha hawajapata hii haki yao ya msingi. Ninyi huko mnaneemeka na kujipa kila stahiki kwa jinsi mnavyotaka. Mama Samia hii ni dhuluma kubwa,hata Mungu hapendi.Mtapigwa mapigo saba na Mungu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    Sawa furahi sasa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Annual increment

    Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa watumishi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

    Asanteni kwa pole zenu Mungu awabariki. Dogo amezikwa leo na ni simanzi kuu imetawala. Hatuelewi kilichotokea ni nini? Ila watoto hawapo salama huko JKT. Mungu yupo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

    Dogo amekufa kifo kibaya sana na ni uzembe wa wasimamizi wao. Tumeumia,tumeumia sanaaaaa, Natamani watoa maamuzi wa huu ujinga nao wafe kwa maumivu kama haya. Kwanza watoto hawaendi kufundishwa kitu bali kufanyishwa kazi na mabinti kufanyiwa unyanyasaji wa namna nyingi. Moyo wangu unauma Franco...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

    Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya). Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu,na mbaya zaidi operator akaondoka na kuwaacha wao peke yao. Badae mikanda ikatoka na kumvutia kwenye mashine na kumchanachana mpaka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Namaliza mwaka kama mwanachama wa JamiiForums. Naomba sapoti yenu tena

    Simjui,ndo nani?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Madiwani watano wa CHADEMA jiji la Arusha wajivua madaraka

    Sawa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwenu Ndalichako na Jafo

    Kivip Mkuu?
Back
Top Bottom