Recent content by razac razac

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea Rais Magufuli kutohudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa someni hapa

    Magufuli piga kazi baba, maneno yao hayana jipya.!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hata kama maisha ni magumu lakini sio hivi

    Fanya yako mkuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

    Km sio bwabwa huyu ni bahati....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ajali zimeongezeka mwezi wa Nne?Askari barabarani wanachangia asilimia 30%

    Sijakuelewa mwandishi ivi wewe upo kwenye gari inatembea uone MTU anapewa hela, tena ukaitambua kuwa n buku,bado na gari iliokuwa ikikaguliwa ukaona siti zake kua hazina mikanda, na Bado unathibitisha kuwa Askari walikubaliana kupokea 1000,30000,au 5000.. Binafsi Sijakuelewa....
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Agola,,, kalale, na Ukiamka kunywa maji mengi ili pombe ulizokunywa Ziwe zimeisha nguvu, alafu uombe msamaha kwa ujinga uliouchangia Hapa....
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mabilioni anayotoa Rais Magufuli ni pesa zake binafsi?

    Mleta mada hajielewi, unatokwa povu bila kujijua unachokisema, tuwe tunajaribu Kufanya utafiti wa Jambo lolote Kabla hatujalileta humu,mbulukenge....
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

    Man uuuuuuu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hasara zipi uliwahi pata kutoka kwa mpenzi? Wa kwangu alinifukuzisha kazi benki

    Ulitaka alipwe shs ngapi mkuu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha kwenye hukumu ya mbunge Sugu na masahihisho yake

    Sioni sababu YA mtoa mada kutokwa povu kuhusiana na kingereza cha hukumu Hiyo, kwasababu kwanza sio lugha ya kuzaliwa ya Mh aliendika Hiyo hukumu, pili Mbona wazungu wakija hapa kujifunza kiswahili huwa wanaongea vitu vyaajabu lkn hamuwashangai, na je Hiyo hukumu imeeleweka au laa,usiwe mtumwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

    Mleta mada binafsi naona unalengo zuri,lkn naona km hutumii maneno yakawaida ambayo mtu yeyote akisoma anaweza kutoka na ktu, mfano Kwann usiweke wazi kitafunwa ambacho mtu anaweza anaweza kunywa na chai kuliko kusema ooh protin Sijui kitu gani,ili elimu ifike kwa usahihi km ulivokusudia..
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

    Ngumu kumeza
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nilivyoishi miaka mitatu kwa hofu nikijua nina HIV

    Hongeraa Sana mkuuu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Eti vijana wa makamo kwenye 30's na watu Wazima wa 50,nikajua wewe n kigoli, Mbona hata wewe n mtu mzima hadi una mtoto, au upo under 18,Kula maisha nawakubwa wenzio wewe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempenda ila ni mwanafunzi wa sekondari, je nimsomeshe?

    Fanya km akili yako inavokutuma
Back
Top Bottom