Recent content by raypaco

  1. R

    JamiiForums Tanzania Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

    Mi nakaa chanika nafanyia seaclif ntashukuru kwa huduma yenu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ili ufanikiwe kiuchumi lazima kwanza uwe na afya njema

    Sasa ww unapikia nn? Sufuria au? Una mpango wa kuishi duniani miaka 100? Ujue usijue hayo uliyoyataja lazma tufe tu!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maji home delivery

    Una kibali cha TBS?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nanua Matairi ya magari

    Marie stopes kuna bid ya matairi chakavu njoo jumatatu uone u bid on my behalf 0767180565 call me.
  5. R

    JamiiForums Tanzania JIHADHARI: VODACOM wajanja night offer ni 1GB...

    Hamia Airtel, Hakatwi mtu hapa!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Chartered Technology - New State-of-the-Art Security Technology Solutions

    Company ina account ya gmail??? Hamna hata domain, mtaaminika vp? Wizi mtupu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo, Mikopo, Mikopo....... Kwa Wafanyabiasharaaaaa

    Bank gani ina email ya yahoo? Scam tu hizo
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tutumie Youtube "KUJIKOMBOA" na Umasikini

    Nice post
  9. R

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara uchina

    Kuna sembe na dona,chagua moja
  10. R

    JamiiForums Tanzania MSAADA!!Mkopo!! NISSAN CEFIRO kwa TSH 10mil Rejesho&riba 12mil ndan ya miez mitatu...

    Unataka mkopo au unauza gari, lol
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    Kwanza hamna chuo cha kimataifa wanatumia e-mail za yahoo au gmail or whatsoever, chuo kinatakiwa kuwa na registerd academic domain yani mfano www.university.ac.tz . Hawa ni email address seekers, nowadays kuna kitu kinaitwa e-mail marketing, what they do ni kupata as much email addresses as...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Utapeli kupitia centre for environment protection.

    Huyu mtu ni tapeli na leo kamtumia mtu same message akidai 40,000, namba ya huyo Rachael Mwakapalila ni 0713749735. Atachukuliwa hatua tu, huezi kua chuma ulete.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mapenzi na huyu mrembo yananiathiri kisaikolojia nifanyeje wadau?

    Kaka wanawake kama sahani kwa mama ntilie,ukishakula wewe inaoshwa analia mwingine,so usiumize kichwa,huyo katoka advance juzi unamuita mkeo mtarajiwa,after 4years hao watakaotoka advance mwaka huo utawaitaje? Wanawake kama samaki kila siku wanazaliwa wengine,just hit! Na usiumize kichwa,mke...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Najua wanaume wengi wamepitia hii kitu naombeni mnishauri mliwezaje kuacha?

    Umenichekesha kweli,watu wanatafuta dawa ya kuacha sigara na pombe wewe unashindwa kuacha masturbation? Nigger please!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri please!!

    Take time kumsoma ni vipi anapenda na vipi hapendi,to know a woman its hard but very simple techniques u can use unamjua,know her hobbies and try kuiga na wewe akikuzoea atafunguka tu,so far mwaka mmoja ni bado kumjua in deep,kua nae most of the time,na mshirikishane mambo yenu ya...
Back
Top Bottom