Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

styl

Member
Feb 7, 2014
52
0
Wachu group of companies inatoa usafiri wa gari dogo kukuchukua nyumbani kwako mpaka kazini na kukurudisha.
Magari yetu yapo katika hali nzuri kabisa na yamesajiliwa kibiashara; Aina ya magari yanaotumika ni kama ifuatavyo, Toyota Noah, Toyota Spacio, Toyota Corolla, Toyota Carina.
Idadi ya abiri ni kulingana na namba ya watu wanaotakiwa kukaa ndani ya gari husika.
wasiliana na wachugroup@gmail.com kwa maelezo zaidi.
Au piga simu: +255685654180
 

styl

Member
Feb 7, 2014
52
0
Wachu group of companies inatoa usafiri wa gari dogo kukuchukua nyumbani kwako mpaka kazini na kukurudisha.
Magari yetu yapo katika hali nzuri kabisa na yamesajiliwa kibiashara; Aina ya magari yanaotumika ni kama ifuatavyo, Toyota Noah, Toyota Spacio, Toyota Corolla, Toyota Carina.
Idadi ya abiri ni kulingana na namba ya watu wanaotakiwa kukaa ndani ya gari husika.
wasiliana na wachugroup@gmail.com kwa maelezo zaidi.
Au piga simu: +255685654180
 

styl

Member
Feb 7, 2014
52
0
Bunju-posta, tegeta - posta, mbezi kimara-posta, mbezi kimara- mwenge, goba-posta, goba-kkoo, mbagala-mwenge, tandika-mwenge, buza-posta, buza-mwenge. Kibamba ccm-posta, kibamba ccm-mwenge.
 

styl

Member
Feb 7, 2014
52
0
WACHU GROUP CO.
Idara ya Usafiri:
Wachu group of companies inatoa huduma mbalimbali: Idara ya usafiri yenye lengo la kupunguza tatizo la usafiri kwa wakazi wa jijini DSM tunatoa usafiri kwa gharama ya sh. 5000/= kwa siku kutoka NYUMBANI-KAZINI-NYUMBANI. Magari; NOAH, SPACIO, CARINA, COROLLA NA COASTER.
ROUTES: MBEZI (shamba)-MWENGE, MBEZI (shamba)-POSTA, G/MBOTO-MWENGE, G/MBOTO-POSTA, MBAGALA-MWENGE, MBAGALA-POSTA, BUNJU –UBUNGO, BUNJU-POSTA.
Muhimu: Umbali kutoka vituo tajwa hapo juu isiwe zaidi ya 3km mpaka nyumbani kwako. Maswali zaidi:
+255685654180: wachugroup@gmail.com
 

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,179
2,000
Safi sana mkuu. Bonge la idea. Hongera sana. Ila sijaona route yangu hapo KIBADA-MWENGE-KIBADA
 

Elushi

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
219
500
Mi nakaa chanika nafanyia seaclif ntashukuru kwa huduma yenu

Umelazimishwa kufanyia wahindi kazi sea clif? kukaa ukae chanika. Raha gani ya kazi hapo.kila siku unaamka saa 10 alfajili! Sasa unataka uwasumbue wenzio wanaotaka kuwekeza, huo ni wivu uchwara tuache sisi tunaoamka asb kuwahi kariakoo kununua bidhaa za magengeni mwetu tujaze nafasi kwenye Noah, wee ng'ang'ana na waajiri wako
 

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,622
2,000
kwa maana hiyo ni kwamba endapo nitakubali ina maana kuwa kwenye gari nitakuwa peke Yang au na abiria wengine???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom