Mikopo, Mikopo, Mikopo....... Kwa Wafanyabiasharaaaaa

Mikopo, Mikopo, Mikopo....... Kwa Wafanyabiasharaaaaa

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Kwenu Wadau,

Wahenga walinena "kizuri kula na nduguyo", kwa ndugu zetu wafanya biashara hii ni habari njema kwao, international commercial bank inawakaribisha kua na uhusiano wa kibenk pamoja na Mikopo kwa wale ambao wanahitaji kua boosted kibiashara ili kufanikiwa kufika malengo yao kibiashara na kutanua wigo wao kibiashara. tunatoa mikopo kuanzia Mil 100, Mil 500, 1bil, 2bil na kuendelea....Ila tuu ni muhimu kua na vigezo vyote muhimu amabavyo ni:

Vigezo:
1. Dhamana (collateral) inayojitosheleza... inatakiwa ku cover 70% ya pesa utakayo
2. Bank statement-inayoonyesha mzunguko wa biashara yako kwa mwaka mmoja.


NB;
wadau, pesa inatoka as long as una vigezo na upo genuine.

kwa wenye uhitaji tuu..wasiliana nasi kupitia
Cell: 0756517588/ 0782517588
Email: Kc26march@yahoo.com
 

Attachments

  • easy_deposits_current_account[1].jpg
    easy_deposits_current_account[1].jpg
    267.2 KB · Views: 224
  • easy_business_banking_product_&_services0[1].jpg
    easy_business_banking_product_&_services0[1].jpg
    234.9 KB · Views: 209
  • easy_deposits_saving_acc[1].jpg
    easy_deposits_saving_acc[1].jpg
    218.4 KB · Views: 205
  • easy_SME_loans[1].jpg
    easy_SME_loans[1].jpg
    236.2 KB · Views: 187
  • easy_personal_loans[1].jpg
    easy_personal_loans[1].jpg
    247.2 KB · Views: 182
Ofisini yenu ipo wapi au Jego la Bank hii lipo wapi.
Maana email hiyo hata mwanangu wa darasa la saba anaweza kufungua.
Maana naona Giza totoro
 
Ofisini yenu ipo wapi au Jego la Bank hii lipo wapi.
Maana email hiyo hata mwanangu wa darasa la saba anaweza kufungua.
Maana naona Giza totoro[/QUOTE

Head office ipo upanga...opposite mzizima shule...bt mi napatikana mikocheni branch adjacent to shoppers plaza. Thats my personal email. Kua na amani mpendwa.
 
Sawa mkuu kwa kukazia
Mna Branches ngapi mikoani na kufungua account kwenye Bank hiyo ni kias gani.
na pia website ya bank ni ipi,maana naona inagoma ku link up
 
Meridian BIAO, pan african bank... haka ka-wimbo nisheanza kasahau, kalikuwa maarufu RTD miaka ya 1990s kakiashiria vipindi vya radio vya benki flani hivi, hata sijui sasa hivi inaitwaje.
 
Meridian BIAO, pan african bank... haka ka-wimbo nisheanza kasahau, kalikuwa maarufu RTD miaka ya 1990s kakiashiria vipindi vya radio vya benki flani hivi, hata sijui sasa hivi inaitwaje.

Mkuuu...hii bank imekua ikiexist for almost 15years nw... In tanzania....mwanzo ilijulikana kama Bank of Malaysia....n now ICb.
 
Tumekuelewa mkuu,
Ila sasa mbona International Bank halafu ina Kwamtogore email address?
Maaan mie nataka kukopa ili ni invest,ila hapo ndipo bado namashaka.
Na wewe pale Bank ni Kama nani?au Dalali Manager

Unajua mkuu wewe weka wazi kwamba wewe unanadi hii dili kama nani,kama ni dalali sema mie ni mpiga debe.then watu wajue wana deal vipi
 
Kwenu Wadau,

-Mikopo kwa wafanyabiashara/Makampuni wenye mrengo wa kati sasa inapatikana tena kwa masharti nafuu kabisa, Ni lazima kwa mfanyabiashara kua genuine ili kupata mkopo utakaomuwezesha kukua kibiashara na kutanua wigo wa kibiashara/kampuni yake. Tunatoa mikopo kuanzia Mil 300 na kuendelea.

Note:

1. Riba ni Negotiable, kati ya 16 to 24%.
2. Muda ni miaka 3 to 5.


Vigezo:

1. Dhamana (collateral)
2. Current Bank statement. (1year)

Zingatia: Kama unakidhi vigezo kupata ni lazima.

Contact us for more info,

Kc'z True Investment,
P.O.Box 20988,
Botswana street, Kijitonyama
cell: 0782 517588
email:
kcztrueinvestment@yahoo.com
 
Kwenu Wadau,

-Mikopo kwa wafanyabiashara/Makampuni wenye mrengo wa kati sasa inapatikana tena kwa masharti nafuu kabisa, Ni lazima kwa mfanyabiashara kua genuine ili kupata mkopo utakaomuwezesha kukua kibiashara na kutanua wigo wa kibiashara/kampuni yake. Tunatoa mikopo kuanzia Mil 300 na kuendelea.

Vigezo:

1. Dhamana (collateral)
2. Current Bank statement. (1year)

Zingatia: Kama unakidhi vigezo kupata ni lazima.

Contact us for more info,
cell: 0782 517588
email: kcztrueinvestment@yahoo.com

Shaka inanijia hasa nikiangalia maeneo niliyoyaweka rangi. Zaidi ya yote kukosekana kwa info zifuatazo kunazidi kunitisha

Riba

Tenor

Feasibility ya mradi unaokopeshwa
Maelezo ya ilipo ofisi
Website ya ofisi
 
Shaka inanijia hasa nikiangalia maeneo niliyoyaweka rangi. Zaidi ya yote kukosekana kwa info zifuatazo kunazidi kunitisha

Riba

Tenor

Feasibility ya mradi unaokopeshwa
Maelezo ya ilipo ofisi
Website ya ofisi[/QUO

Nimeadd some of info'z, for more info...tuwasiliane mkuu.
 
Kama biashara ipo Mkoani na collateral zipo huko inakuaje?
 
Back
Top Bottom