Atakayesema mwananyamala A ni uswahili kupitiliza nitamcheka sana.Atakayesema ubungo maziwa ni uswahilini nitamcheka sana tyuuu.Atakayesema mbagala,gongo la mboto,chanika ni uswahili huyu ni kchaa zero brain
Sio kwa ubaya jamanii ukweli usemwee tyu
Nina marafiki kibao wanakaa mitaa hiyo sijui...
Arusha hali yake ya hewa inafaa sanaa tu kwa wale wapendanao, yaani ni fireeeeeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305]
Jamani, kama unataka kwenda honeymoon, uende Arusha au kama unataka kwenda...
Vibe la j2 vepeee humuuuu
Uwe mdada au mkaka mpango dear ni ku-make money mambo ya kupenda ilikua miaka ya 90 ndo real love ilikuwepogoooh mpo hapo???
Mfano wanaume wote 99% ni tamaa tyuu hawajui kupenda mwee mwanamke hata umpe na mumeoo au huyo mpenziooo mpe mpaka nanilou still,atatoka tyuuu...
Nawatakia new year woteez mashosti na mabitozi wa humuu.
2020 ni planning jomoni anza ku-make plan zakoo sasaa usijisubirishee sawaaa.
Kumbuka tyu kutekeleza mipango na malengo yako inaanza leo sio kesho jamani
I wish all the best uwiii hata i can't wait 2020 oooogosh!!
Sent using Jamii...
Hi guys
Nina kasafari huko new york na baadae L.A California but next months huko nina accuracy kwa asilimia kubwa tyuu
Sasa jaman ety ni mambo gn ambayo natakiwa nizngatie huko yaani nini na nn nisifanyeee maana he e nikaona nisimuulze huyo kuuhu hili maana ataniona mshambaa
Mm sio mshamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.