Mhe. Nape, tofautisha kati ya kutangaza nia kabla ya wakati na swala la ugawaji rushwa. Ugawaji rushwa ni swala pana sana na hii hutegemea kada mbali mbali za mtoa rushwa, mpokeaji, mazingira ya rushwa yenyewe mfano, kazini, shuleni, hospitalini na popote pale na hasa kwanini rushwa itolewe na...