Baada ya Tabora Lowassa aunguruma Shinyanga

Nachoshangaa huyu lowasa ndani ya ccm anacheo gani? Pia kama ni kiongozi anayefaa mbona anahangaika sana ninavyofahamu chema chajiuza kibaya chajitembeza kwa hiyo anajijua hafai ndio maana anajitembeza pia nasikia hayo mapokezi anatoa hela mwenyewe mapema ili waandae aonekane anakubalika ni ufisadi mtupu
 
Nape kazi anayo!ikishindikana ccm watamfanyia option "B",lowasa ana nguvu kubwa sana kwa sasa
 
Al Usttadh Fisadi Lowassa baada ya kupigwa stop kupepeleka mabilioni yake ya uuzaji wa unga katika nyumba za ibada sasa limekuja na utaratibu mpya wa kuzurura mikoani ili kutafuta umaarufu. Hatufai kabisa huyu tumpige vita kwa nguvu zetu zote.
 
we ndo utampiga vita,watz wote ngashtukaaaa kuwa lowasa alitolew kama kafara,kwhyo hyo roho ya kishetani umebaki nayo mwenyewe mbee
 
Ni wenye hekima tu ndiyo wanajua huyu fisadi ni hatari, lakini kwa watu wenye uchu wa kupewa vijisenti kama nyie ndiyo mnafagilia ujinga, tunataka tanzania/ tanganyika iliyo safi. hizi pesa anazo tupa hovyo atazirudisha vip akiisha kuwa rais, fungua akili yako, labda kama uko hapa kama kibaraka!
 
Hujui lolote wewe unaropoka bila kutafakari. Watanzania mafisadi na wale watetezi wa mafisadi ndio wanaompigia chapuo huyu fisadi, kwa wale wenye kufahamu matendo yake hawamtaki hata chembe kwa ufisadi mkubwa alioufanya dhidi ya Watanzania.

we ndo utampiga vita,watz wote ngashtukaaaa kuwa lowasa alitolew kama kafara,kwhyo hyo roho ya kishetani umebaki nayo mwenyewe mbee
 
Mbaka 2015 mengi yatatokea
Sasa huyu EL anataka Uchungaji, Ushehe, Ubunge, na sasa Anataka Uchifu. afu akisha maliza anakuja URAISI.
MUNGU IBARI FAMILIA YANGU NA TUEPUSHE NA HUYU EL.
 
Tunafahamu ni jin7i gani wazee wa kimila walivyoathiriwa na umasiki huku kwetu siku hizi hata ukitaka upewe urithi ambao alistahili kupewa mdogo wako we kaa nao vizuri tu, hivyo kwasabdu ya kipato jamaa anatumia uzaifu huo kukuaminisha wewe na wengine wasiujua haya mambo kuwa jamaa anakubalika, jiulize Nyerere alipendwa na wazee wangaph mbona hakupewa iivi vyeo kwa kas4 hivi hata kule umasaini ambako yeye ni mgeni maana ye ni mmeru ni kweli kwana haku mzee wa heshima na anayejua mila zaidi na mkubwa zaidi yake, wako ila? Pesa. Kuwa makini

Read between the lines and think out of the box, His excellency, The President of The United Republic of Tanzania will be no one else in 2015 other than Honorable Edward Ngoyai Lowassa. Believe me you, Olaigwani is just next to the Door of the State House. And when he enters, all cocroaches would have taken their time hidding in crevies
 
Ni wenye hekima tu ndiyo wanajua huyu fisadi ni hatari, lakini kwa watu wenye uchu wa kupewa vijisenti kama nyie ndiyo mnafagilia ujinga, tunataka tanzania/ tanganyika iliyo safi. hizi pesa anazo tupa hovyo atazirudisha vip akiisha kuwa rais, fungua akili yako, labda kama uko hapa kama kibaraka!

ungekuw na hekima usingeandka upuz kama huo,ila mi sikulaumu coz njaa ndio inayokuendesha,ila kwasabu bs umekuw mlemavu wa akili na hakuna njia nyngne ya kukusaidia,jitahd bs hata watoto wasiigr tabia yako ya kutegemea kupost kitu jamii ili usife njaa
 
we ni ----- kupitiliza, silambi miguu ya fisadi yeyote, na silipwi na yeyote, kama mimi nimeandika upuuzi wewe utakuwa umeandika matapisha, acha ulimbukeni, kujikomba kwa mafisadi ni ufinyu wa akili...sikulazimishi maana ndiyo mlivyo jizoesha kuishi mjini kiujanja
 
Huo wivu wa kike utakugharimu sana,unamlalamikia lowassa kama mzazi wako,kwnin usimlalamikie mzazi wako aliyekuzaa unalalamikia wanaume,mlaumu mzazi wako aliyekuzaa wakati kina lowassa wakitafuta hela mzazi wako alikuwa ananyoa panki na kujisifia,sasa inabdi urithi hyo panki,
 
we lazima nikilaza we mbaona unamsifia lowasa? ua ndiyo mzee, ninacho lalamika mimi si mtu kuwa na pesa tatizo ni wizi ufisadi uliopitiliza, sina shida na utajiri wa mtu...lakini unafisidi mali ya umma kisha nikusifie hapana... kwa taarifa yako mimi sina shida nachopata kinanitosha, tatizo ni nyie msio jua nini la kufanya mpaka kuwasifi majizi... acha kujipumbaza, hiyo mali mnayo sifia nayo ni yenu kawaibia akiwapa kidogo mnapumbazika, ningekuwa na shida kama wewe ningekuwa nasifia majizi... nina maisha yangu yanayo tegema ujuzi wangu...usiwe mjinga!
 
sasa kama unajuw hilo kwnn unalia lia na hela za wanaume?funga mdomo wako,wivu ulio nao kw lowassa ni bure,hat wazaz wako wanajua kipnd lowassa akitafuta hela wao wanacheza mchezo wa kujificha na baba na mama,sasa kaa vizur tu na wazaz wako watakueleza story zote,ulikosea kukurupuka na kutext uzi wako bila kukaa kitako na wazaz wako wakupe mambo yalivykuwa,najua hunelew kwasab hata id yuko inafafanua ulivyo,sasa hilo gamba nafikir limeota had kwny masabur ndo mana
 
Muulize Lowassa kaiba ngapi anazozijua au ni kenge tu kwenye msafara wa mamba
 
Anajisumbua tu, kwani kamwe hatokuwa rais wa hii Tz inayonuka rushwa na ufisadi
 
Back
Top Bottom