Mlima Kilimanjaro tunalaumu Wakenya, hili la Minjingu je?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Sisi ndio inabidi tubadilike na siyo kila siku kulaumu wengine, ona hapa sasa Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kilichoko Mkoani Manyara kinazalisha Mbolea Tanzania lkn kuiweka kwenye mifuko inayoonyesha Mbolea hiyo imetengenezwa nchini Kenya, sasa hapa napo mtatukana na kulaumu Wakenya?
Tujifunze kuwa Wabaguzi, bila ya kuwa Wabaguzi tutaendelea kuonewa na kutumiwa maisha yetu yote, Ubaguzi siyo jambo baya kwani Ubaguzi maana yake ni upendeleo wetu kwa watu wetu na vitu vyetu, basi!
Yaani sisi kwanza na wengine ndiyo wafwatie na siyo kinyume chake!

Waziri Mkuu Mkuu wetu (pichani) akionyesha jinsi Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kinavyotumia mifuko iliyoandikwa Anwani ya Kenya, Je Waziri Mkuu wetu asingefanya ziara kwenye hicho Kiwanda hali hiyo ingeendelea mpaka lini? Na kuna madudu mangapi kama haya nchini mwetu ambayo tu hayapata kuibuliwa na Viongozi wetu wakuu?

Sasa nimeelewa kwa nini Watanzania weusi wanamteteta Muhindi Manji, Muhindi ambaye utajiri wake wote kaujenga kwa wizi na dhuluma dhidi ya watu wetu, jibu rahisi ni kwamba sisi hatuna uzalendo kwa nchi yetu na watu wetu!!

FullSizeRender.jpg

RG1A7609.JPG

unnamed.jpg
 
hayo maelzo mengine kwenye packing bags hayana shida sababu bulk importer anaweza kuomba awekewe maelezo. Tatizo lipo kwenye manufacturring entity and adress inayonnesha imezalishwa NBI
 
Sisi ndio inabidi tubadilike na siyo kila siku kulaumu wengine, ona hapa sasa Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kilichoko Mkoani Arusha kinazalisha Mbolea Tanzania lkn kuiweka kwenye mifuko inayoonyesha Mbolea imetengenezwa nchini Kenya, sasa hapa napo mtatukana na kulaumu Wakenya?
Tujifunze kuwa Wabaguzi, bila ya kuwa Wabaguzi tutaendelea kuonewa na kutumiwa maisha yetu yote na Ubaguzi siyo jambo baya kwani Ubaguzi maana yake ni upendeleo wetu kwa watu wetu, basi!

Mtajuana wenyewe wapenda RUSHWA wakubwa nyie
 
serikali kwa sasa iko bize kumuadabisha manji tu. hayo mengine yatashughulikiwa kipindi cha kampeni tu
 
Serikali inapambana na lema na lisu hawana muda wa kufanya kazi za msingi?hapa Giza tuuuuuuNwway mifuko labda inaagizwa kenya
 
Hapa Manji kaingiaje???? Barbarosa hebu tuambie Manji anashitakiwa kwa kosa gani,dhuluma,uuzaji madawa ya kulevya,kuajiri wageni,kumiliki hisa TIGO au kuhifadhi fedha zake nje?????? kuweni wawazi msizunguke mbuyu.Au manji ndiye mmiliki wa Minjingu Phosphate???
 
Hapa Manji kaingiaje???? Barbarosa hebu tuambie Manji anashitakiwa kwa kosa gani,dhuluma,uuzaji madawa ya kulevya,kuajiri wageni,kumiliki hisa TIGO au kuhifadhi fedha zake nje?????? kuweni wawazi msizunguke mbuyu.Au manji ndiye mmiliki wa Minjingu Phosphate???
 
Sisi ndio inabidi tubadilike na siyo kila siku kulaumu wengine, ona hapa sasa Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kilichoko Mkoani Arusha kinazalisha Mbolea Tanzania lkn kuiweka kwenye mifuko inayoonyesha Mbolea imetengenezwa nchini Kenya, sasa hapa napo mtatukana na kulaumu Wakenya?
Tujifunze kuwa Wabaguzi, bila ya kuwa Wabaguzi tutaendelea kuonewa na kutumiwa maisha yetu yote na Ubaguzi siyo jambo baya kwani Ubaguzi maana yake ni upendeleo wetu kwa watu wetu, basi!

Waziri Mkuu Mkuu wetu (pichani) akionyesha jinsi Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kinavyotumia mifuko iliyoandikwa Anwani ya Kenya, Je Waziri Mkuu wetu asingefanya ziara kwenye hicho Kiwanda hali hiyo ingeendelea mpaka lini? Na kuna madudu mangapi kama haya nchini mwetu ambayo tu hayapata kuibuliwa na Viongozi wetu wakuu?

Sasa nimeelewa kwa nini Watanzania weusi wanamteteta Muhindi Manji, Muhindi ambaye utajiri wake wote kaujenga kwa wizi na dhuluma dhidi ya watu wetu, jibu rahisi ni kwamba sisi hatuna uzalendo kwa nchi yetu na watu wetu!!

FullSizeRender.jpg

RG1A7609.JPG

unnamed.jpg

Kiwanda cha Minjingu hakipo Mkoani Arusha bali Mkoa wa Manyara, Kata ya Nkaiti, Tarafa ya Mbugwe, Wilaya Babati.
 
Jamani kiwanda cha minjingu kusilaumiwe yaani mbolea ikiandikwa imetengenezwa kenya ni sawa na kuandikwa made in England au German ili bidhaa yetu ionekane ni bora, au mmeshasahau Nairobi ni London ya afrika! Msijifanye hamulijui hilo,atakaye kataa na akatae lakini ukweli ndo huo! Na jingine ni hili mm napenda kueleza fact miaka miwili inayokuja kenya itadhihilisha kuwa wako vizuri kiuchumi ss tukiachwa mbali kabisa kwani reli yao ipo mbioni kukamilika kwa kasi ya ajabu bila kujali gharama wanayotumia kwani gharama itaanza kulipa wakati sisi tukiendelea kuhesabia hela zetu mfukoni na kuwaza kila wakati mnaibiwa tu, tanzania tutasubili sana!
 
Sisi ndio inabidi tubadilike na siyo kila siku kulaumu wengine, ona hapa sasa Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kilichoko Mkoani Manyara kinazalisha Mbolea Tanzania lkn kuiweka kwenye mifuko inayoonyesha Mbolea hiyo imetengenezwa nchini Kenya, sasa hapa napo mtatukana na kulaumu Wakenya?
Tujifunze kuwa Wabaguzi, bila ya kuwa Wabaguzi tutaendelea kuonewa na kutumiwa maisha yetu yote, Ubaguzi siyo jambo baya kwani Ubaguzi maana yake ni upendeleo wetu kwa watu wetu na vitu vyetu, basi!
Yaani sisi kwanza na wengine ndiyo wafwatie na siyo kinyume chake!

Waziri Mkuu Mkuu wetu (pichani) akionyesha jinsi Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kinavyotumia mifuko iliyoandikwa Anwani ya Kenya, Je Waziri Mkuu wetu asingefanya ziara kwenye hicho Kiwanda hali hiyo ingeendelea mpaka lini? Na kuna madudu mangapi kama haya nchini mwetu ambayo tu hayapata kuibuliwa na Viongozi wetu wakuu?

Sasa nimeelewa kwa nini Watanzania weusi wanamteteta Muhindi Manji, Muhindi ambaye utajiri wake wote kaujenga kwa wizi na dhuluma dhidi ya watu wetu, jibu rahisi ni kwamba sisi hatuna uzalendo kwa nchi yetu na watu wetu!!

FullSizeRender.jpg

RG1A7609.JPG

unnamed.jpg
1. Kwanza hicho kiwanda kina milikiwa na nani? (Mtu binafsi au Serikari?)
2. Kama ni cha serikari au serikali ina ubia basi part ya management inayo simama kwa niaba ya serikari ni ya kufukuzwa kazi, kujisahau kwa kiwango hicho hakuvumiliki.
3. Hii issue imeni kera sana
 
Sisi ndio inabidi tubadilike na siyo kila siku kulaumu wengine, ona hapa sasa Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kilichoko Mkoani Manyara kinazalisha Mbolea Tanzania lkn kuiweka kwenye mifuko inayoonyesha Mbolea hiyo imetengenezwa nchini Kenya, sasa hapa napo mtatukana na kulaumu Wakenya?
Tujifunze kuwa Wabaguzi, bila ya kuwa Wabaguzi tutaendelea kuonewa na kutumiwa maisha yetu yote, Ubaguzi siyo jambo baya kwani Ubaguzi maana yake ni upendeleo wetu kwa watu wetu na vitu vyetu, basi!
Yaani sisi kwanza na wengine ndiyo wafwatie na siyo kinyume chake!

Waziri Mkuu Mkuu wetu (pichani) akionyesha jinsi Kiwanda cha Mbolea cha Minjigu kinavyotumia mifuko iliyoandikwa Anwani ya Kenya, Je Waziri Mkuu wetu asingefanya ziara kwenye hicho Kiwanda hali hiyo ingeendelea mpaka lini? Na kuna madudu mangapi kama haya nchini mwetu ambayo tu hayapata kuibuliwa na Viongozi wetu wakuu?

Sasa nimeelewa kwa nini Watanzania weusi wanamteteta Muhindi Manji, Muhindi ambaye utajiri wake wote kaujenga kwa wizi na dhuluma dhidi ya watu wetu, jibu rahisi ni kwamba sisi hatuna uzalendo kwa nchi yetu na watu wetu!!

FullSizeRender.jpg

RG1A7609.JPG

unnamed.jpg
Kama kifungashio/mfuko ni bandia, yaliyomo ndani ya bandia yatakosa kuwa bandia pia?
 
Sasa nimeelewa kwa nini Watanzania weusi wanamteteta Muhindi Manji, Muhindi ambaye utajiri wake wote kaujenga kwa wizi na dhuluma dhidi ya watu wetu, jibu rahisi ni kwamba sisi hatuna uzalendo kwa nchi yetu na watu wetu!!

Ulianza vizuri kweli hii mada, umeiharibu mwishoni
 
hayo maelzo mengine kwenye packing bags hayana shida sababu bulk importer anaweza kuomba awekewe maelezo. Tatizo lipo kwenye manufacturring entity and adress inayonnesha imezalishwa NBI
Acha utumbo
Si sawa hata kidogo kuandika Manufactured by Minjingu Mines and Fertilizer Limited then unatoa address za Kenya
Dhamila ya Manyang'au (Wakenya) ni kupotosha kuwa kiwanda cha mbolea cha Mijingu kiko Kenya (Nairobi-Kenbro Industrial Park)
Na muomba Mh. Waziri Mkuu alivalie njuga swala hili
 
Back
Top Bottom