Recent content by Rasocrypto

  1. R

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Ni DM..Nikuunganishe na anayeuza
  2. R

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    We tafta zako line ya safaricom..Unda paypal kula maisha
  3. R

    JamiiForums Tanzania Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Hapo KUPAUA..unaona kbx umaskini unauchungulia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    We umeona wapi Basi limeandikwa MASHAALAH ndani ukakuta wana Play kwaya
  5. R

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Share Number y Big tuweke order
  6. R

    JamiiForums Tanzania Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

    Mcheki huyu jamaa anaitwa SAM yuko Mlimani City..+255769038065 Kashanitengenezea simu 2 so far z kubadili kioo samsung n iphone..UHAKIKA
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata maumivu makali sehemu ya haja kubwa kiasi cha kushindwa kukaa

    We una constipation..Jinsi ya kuchomoka hapo piga sahani ya papai kila siku. Piga jioni ndy unyama zaidi. Utapata choo kilaini then hiyo hali itaisha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Starlink yatua Zimbabwe

    Hv hakuna mbongo anayeziuza hizi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

    Kama hujapata hili tatizo huwezi elewe stress zake. Chukua hii kutoka kwangu maana na mimi nilipataga shida hiyo na niliweza kuchomoka Kwa jinsi ulivyoelezea inaonyesha dhahiri huyo ana tatizo la constipation ambayo ilipelekea kuwa na anal fissues ambayo hupelekeaa anakuwa na blood spots...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Huyu jamaa kanichorea ramani nzuri sana +255 655 330 007 whtpp Halafu hana papara..anasikiliza wazo lako vzr then analiingiza kwnye utendajj
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na “lipa kwa simu” ni pete na kidole🤝

    Lipa namba inaweza ku hold kiwango gani cha pesa 1bn ?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Kama ndio unaanza kazi za online za uhakika..Anza na kazi za survey..Join multiple platform kwa mwezi 500+ una make Pitia channel ya @Rasosurvey Telegram utapata madini mengi
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

    Kama uko interested na kazi za online..Best way nikuanza na kazi za survey. Hizi kwa mwezi laki 5 unapata. Tembelea hapa ujifunze zaidi https://t.me/rasosurvey
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Chukua kitunguu swaumu kama punje 5 zi twange..changanya n kijicho cha asali..paka hta mara 3 kw siku..baada y sku 7 leta mrejesho
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwenye nyumba kanipenda

    My current situation
Back
Top Bottom