Recent content by rashzak

  1. R

    Historia ya TANU yazidi kuchafuliwa katika sherehe za Uhuru

    Mbumbumbu mmoja wee. Muislam hawezi kuona aibu kujinasibisha na uislam kama ilivyo kwa mkristo hindu au jews
  2. R

    Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Assad ni mwalimu wangu na nimjuavyo mm si mtu wakuyumbishwa na mtu wa msimamo sikuzote husimamia ukweli nakumbuka nilipokua nikisoma udsm 2004 alikua mkemeaji mkubwa wa matumizi mabaya yaliyokua yakifanya na uongozi wa Luhanga makamo mkuu wa chuo by then hakuogopa kufukuzww kazi alikua akiwapa...
  3. R

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Mwehu ww, mbona kesi ya ukawa kuhusu katiba haikuzuia bunge kupitisha katiba pendekezwa
  4. R

    Tumaini Makene, Yericko Nyerere na Ben Saanane mnijibu: Je, kweli Zitto alikuwa msaliti?

    Tatizi la jf ni unazi au unafiki wa uchama, ikitokea kiongozi wa chama fulani afanye kosa hata liwe kubwa na wazi vipi basi hutokea mtu akatetea hilo jambo ilhali hata akili zake zinakiri nikosa. Huu ni unafiki na kwa style hii tz hatuwezi kuendelea maana tutakua hatuadabishani henceforth uovu...
  5. R

    Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

    Duu mate yatutoka kwa hiyo mushakiki. Mbaya wakutupikia hawapo na Sie wengine kupika ni zero
  6. R

    Afghani rice (Qabuli palao)

    Mashaalah keep it up wake zetu wapate kustafidi
  7. R

    Nani yuko macho tupige stori?

    Mm sijambo mzima Kama msumari. kila nikikumbuka yakesho usingizi hauji
  8. R

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Yaani muda tuliona humu jf hautoshi kujadili hayo matatizo ya taifa na Haya ya mbowe. Usiwe bias amefanya kosa he must be named for shame.
  9. R

    Jifunze Lugha ya Kiarabu

    IPO yakujifunza kuongea kiarabu maana Kuna ambao wanajua kusoma lkn kazi IPO kuongea
  10. R

    Nani yuko macho tupige stori?

    Lete kaifa na mm sina usingizi hapa afadhali Upo naww
  11. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mshindi ni sabuni iliyopotea mda mwingi kwa kusambaa sabuni za unga kathiir.
  12. R

    Mbwana Samatta Man of the Match achemka kutema Ung'eng'e

    Proffessional is not necessarily to speak English
  13. R

    Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

    Nimetamani kukutukana tusi la wauza miwili Yao kwa bei chee lkn nimenyuuti. Ila silazma kupinga kila jambo huyo alikua waziri wa mambo ya nje na sasa kiongozi mwandamizi ktk ccm Hilo halitoshi kuteuliwa.
  14. R

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Unajisikiaje kutunga uongo ukausambaza watu waamini ni waukweli. Au Ndio machiavellinism.
  15. R

    Kosa kubwa baada ya kumvua ZZK Vyeo vyote chadema

    Hilo usemalo ni Kweli kabisa Hata kikwete alipata kulalama juu ya waraka uliokuwa ukisambazwa makanisani wa kuunga mkono chadema. Cdm wanaweza kujitetea yakuwa siwadini lkn mazingira waliojiweka nayo hasa sasa baada ya uteuzi mpya ni ya udini hebu angalia safi ya uongozi wao Mkiti freeman...
Back
Top Bottom