Recent content by Rashiditanz

  1. Rashiditanz

    Inawezekanaje kutumia milioni kumi kwa siku moja kwa matibabu ya Lisu?

    The truth can very well be, kwamba yuko au alikuwa ICU... na siku zote gharama peke yake ya ICU tu ya hospitali kama Aga Khan ya Nairobi inakuwaga juu sana.. siku ukilazwa ICU ya Aga Khan ya Dar-es-salaam tu, utajuwa faida ya kuwa na Insurance ya kimataifa... Na tusisahau, kama amefanyiwa...
  2. Rashiditanz

    Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Sasa hiro rinakupa shida?? Kameze hiro jina rako... Utawa lekebisha wangapi? Sometimes na mimi pia nafanyaga hivyo, rakini nimechoka kwa kweri.... Na ujue hiro nimechangia tu basi... natafuta tu kiki za asubuhi... ar maalufu 'likes'... Have a good friday... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Rashiditanz

    Serikali tutafutieni wateja wa mbaazi hata tsh. 100 kwa kilo tunateseka tutauza tu

    Kwenu ndio wapi? mbinguni? si utaje tu wakati mnachangia... mpaka mmulizwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Rashiditanz

    Serikali tutafutieni wateja wa mbaazi hata tsh. 100 kwa kilo tunateseka tutauza tu

    Chotera vipi mbona hutaki kujibu hata... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Rashiditanz

    Serikali tutafutieni wateja wa mbaazi hata tsh. 100 kwa kilo tunateseka tutauza tu

    Cheki inbox yako... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Rashiditanz

    Miliki Kiwanja/Shamba kwa mkopo bila masharti yoyote wala riba na ulipe taratbu ndani ya miez12 zaid

    Zina hatimiliki hizi shamba na kama ndio, umiliki wa kiasi cha shamba litakalo nunuliwa na mteja, je process ya kukatiwa hilo eneo pamoja na kubadilisha umiliki itatangulia hiyo muda ya kulipa huo mkopo au inakuwaje? Pia hizo mashamba yana maji? Asante
  7. Rashiditanz

    Mjadala: Sheria ya mzinifu alooa na ambaye hajaoa ( kiislam)

    Mimi sikufafanua kwa haraka zangu kwamba nilikuwa najibu ulivyo uliza "hamna anayejua juu ya hii mambo" au ulisema kitu kama hicho... ndio nilikuwa na make a point tu kwamba sio maada ambayo umepata response kwa haraka kwa sababu mmoja wapo ni many many people are guilty of this shameful sin, na...
  8. Rashiditanz

    Mjadala: Sheria ya mzinifu alooa na ambaye hajaoa ( kiislam)

    Nani atatia neno haraka haraka wewe!! Wakati inajulikana wazi kabisa kwamba asilimia kubwa tu ya jamii ni wadhinifu hapo kwetu kwa Mama Tanzania...
  9. Rashiditanz

    Polisi watoa orodha ya makosa barabarani na alama zitakazokatwa kwenye leseni

    Ndio, ili pia ukatwe point... chagua ambaye inakata point chache..
  10. Rashiditanz

    Polisi watoa orodha ya makosa barabarani na alama zitakazokatwa kwenye leseni

    Wataiweka kama akiba.. siku ukipata leseni, una nyanganywa hapo hapo tena..
  11. Rashiditanz

    Arusha: Mzungu asajiliwa laini ya simu kwa dollar 1000

    Ndio maana tunakosa mvua saa nyingine... hii tukio ukiweza kuifikisha kwa watu wa nchi nzima, sintoshangaa kama zaidi ya nusu ya watu wa nchi nzima itashangilia alichofanywa mzungu... nchi imeoza hii..
  12. Rashiditanz

    Nauza shamba Mkuranga

    Good for you... May God bless you..
  13. Rashiditanz

    Nauza shamba Mkuranga

    Alitaka useme bei iliyokuwa ya chini zaidi, sio hizo kilometa... Be serious!
  14. Rashiditanz

    Harakati za ubunge Jimbo la Serengeti zaanza

    hiro jimbo ra selengeti rita subili sana...
Back
Top Bottom