Nauza shamba Mkuranga

Nauza shamba Mkuranga

mkuu hilo shamba lipo karibu na ule mto kama unaenda jaribu ama??
 
Shamba lipo Mkuranga kupita kimanzichana kijiji cha Mkiu km 6 kutoka barabara kuu iendayo Mtwara, ni heka 35 nauza zote kwa pamoja kila heka 550,000. Hakuna dalali mimi ndiyo mmiliki, kwa mawasiliano 0627748402. Karibuni
Mkiu upande upi mkuu? Upande wa kulia au kushoto ukitokea Dar?
 
Nina mashamba huko mpaka Bungu vile vile ila kwa hiyo bei naona kama ipo juu kidogo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom