Recent content by rasheid

  1. rasheid

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiofahamu>>JINSI YA KUTUMIA APP YOYOTE BILA KUIDOWNLOAD WALA KUI INSTALL KUTOKA PLAYSTORE

    Mkuu nimejarbu kuifatilia video kwa makin lkn sehem hyo ya google kweny setting cjaiona kabsa kweny sehem yangu,samsung note 2
  2. rasheid

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Simu yang samsang note 2 inaandika unfortunalty andoid and apps,baadh ya apk apps na official apps za playstore
  3. rasheid

    JamiiForums Tanzania Simulizi za ruhundwa

    Habar wana I.T nawezaje kupata simuliz za ruhundwa zlzokamilika bla kutumia app yake iliyopo playstor,maana app ile kwang inagoma kunisajil,msaada wenu jaman kwa anaefahamu
  4. rasheid

    JamiiForums Tanzania Tatizo la earphone

    Habari zenu wana I.T, wandugu ninakicmu changu tecno W3 inatatzo kwenye upande wa earphone, nikihitaj kutumia earphone kusikiliza mziki unapiga kwenye earphone na spika ya nje ya simu, msaada wa setting wandugu zanguni.
  5. rasheid

    JamiiForums Tanzania Mpenz wangu wanataka kuniolea

    Habari zenu wandugu, Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi ikabidi mmoja wetu ahamishiwe kituo kingine cha kazi Yule mchumbaangu wakamuhamisha tukawa mbalimbali...
  6. rasheid

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Habari zenu wandugu,ninatatzo ambalo ni zito na kero kwangu kama linavyojieleza hapo head above, ninatatizo hilo la kuwashwa kwenye korodani na kutokewa na ukungu katika eneo hilo kwa muda mrefu. Sasa na nishatumia kila aina ya dawa za hospitali na dawa za kisuna znazopatikana katika maduka...
  7. rasheid

    JamiiForums Tanzania Kuupgrade android version kwenye galaxy note 11

    Toleo la 2014
  8. rasheid

    JamiiForums Tanzania Je Sim yangu nai update vip ipo rooted

    Naomb msaada na mm wa kuupgrade android version ya galaxy note 11
  9. rasheid

    JamiiForums Tanzania Kuupgrade android version kwenye galaxy note 11

    Habar zenu ndugu zangu wanateknolojia,naomben msaada wa muongozo wa kuupgrade android version kwenye samsung galaxy note 11
Back
Top Bottom