Kwa wasiofahamu>>JINSI YA KUTUMIA APP YOYOTE BILA KUIDOWNLOAD WALA KUI INSTALL KUTOKA PLAYSTORE

Habari wana jamii??
Leo nina trick moja tu kwa wasiofahamu jinsi gani ya Kutumia Baadhi ya Application kutoka play store bila kufanya installation wala kuidownload.


Nimeanda video maalumu itakayokusaidia kuelewa zaidi.

Video ni maalumu kwa wale wasiofahamu tu kama unajua It's okay.

ITAZAME.

Haieleweki / Inaeleweka ?
 
Mkuu nimejarbu kuifatilia video kwa makin lkn sehem hyo ya google kweny setting cjaiona kabsa kweny sehem yangu,samsung note 2
 
Safi mkuu ubarikiwe ulichoshare nasi achana na huyo..aliyesema hajaelewa kashavuta vyake vibichi tukiwaambia jua linawaka waanike hawataki
 
Back
Top Bottom