Recent content by Rapidforce

  1. Rapidforce

    Tangazo la kubadilishana kituo cha kazi

    TANGAZO LA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI Hodi! Kwa gt! Mwalimu wa shule ya sekondari LULEMBELA, Halmashauri ya Wilaya Mbogwe, Mkoa wa Geita. Anatafuta Mwalimu wa Kubadilishana naye kituo cha kazi. Mwalimu yeyote aliye Mkoa wa MARA katika Halmashauri zifuatazo, Halmashauri ya wilaya Rorya...
  2. Rapidforce

    UK court approves Barrick Gold's takeover of Acacia

    Wananchi wa Ili wananchi wanufaike! Kwahiyo BARRICK imekuwa sasa ni ya wananchi watanzania!?
  3. Rapidforce

    Kwa jinsi nilivyousoma mkataba mpya Kati ya Serikali na Acacia,Watanzania tunaanza kula matunda ya awamu ya tano

    Inapatikana wapi hiyo mkataba na sisi raia wema tukaisome!! Usije kuwa uatulisha matango pori hapa, ni lini mikataba inayoingia nchi yakawekwa hadharini kwa wananchi!?
  4. Rapidforce

    Je, Makonda alisoma sheria ya ndoa,mirathi na ubakaji kabla yakupeleka mapendekezo?

    TumainiEl Asante na hongera kwa kubadilika na kuanza kuwa gt humu jf
  5. Rapidforce

    Majina ya watumishi wa Umma walioteuliwa kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa-2019

    Kwahiyo tamisemi ndo NEC ujinga kweli hivi Tanzania kuna wasomi kweli? Alafu utashangaa vijana machizi wanakuja humu jf kujaza saver tu hapa na utumbo wao mara ooh Lissu, Nape, Kinana shame on you Tanzanians
  6. Rapidforce

    Tundu Lissu anayo fursa ya kuliomba Taifa msamaha!

    we ni pumbavu kweli
  7. Rapidforce

    Rais Magufuli azungumzia sauti za viongozi waliomteta. Awataja January Makamba na Ngeleja, awasamehe

    Chief Kabikula Unafikiri kwa tangazo lako hilo sisi kama watanzania inatusaidia nini tunaosoma namba!!? Kuwa basi gt kwa kutuletea hata habari za wapi kunapatikana soko la mchicha hapa bongo
  8. Rapidforce

    Amini nawaeleza, Rais Magufuli atawasamehe wote lakini si Kinana!

    Bandiko linatufundisha nini, au kama vijana wa taifa hili tuliopauka kwa kukosa ajira tunanufaika vipi na gazeti lako hili!? CCM hooyeeeeeee ahadi tunaitekeleza na inaonekana, wacha waisome namba ee!!!
  9. Rapidforce

    Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Who is kamanda? CCM hoooooyeeee!!!! Oohh wataisoma namba eeh!!! Wabongo bwana hadi raha!!!!!
  10. Rapidforce

    Lissu, kashfa uliyoitoa kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere itakugharimu kwa muda wote wa maisha yako

    Uwa nawachukia msiopenda ukweli hakika waafrika tukija kuacha uchawi na utamaduni wakijinga tutapata maendeleo Aliyetufikisha hapa ni had hao akina baba wa taifa sijui madarakani miaka 200 but hakuna taasisi imara tunayojivunia, katiba ya hovyo kabisa
  11. Rapidforce

    Korea Kaskazini yarusha makombora mawili baharini na kufikisha makombora 10 tangu Mei, 2019. Yasema ipo tayari kuzungumza na Marekani

    Anajiangaisha yeye afanye kivyake sasa mazungumzo ya nini na USA? Hapo ndo anajidhalilisha kwahiyo analazimisha mazungumzo na USA kwa kurusha makombora? Huo ni usenge na uoga.
  12. Rapidforce

    Donald Trump amfuta kazi Mshauri wake wa masuala ya Ulinzi na Usalama, John Bolton

    "Katibu wa sala" Nikahisi katibu wa vita..... Aah mnatania!!!!!😁😁😁
  13. Rapidforce

    Donald Trump amfuta kazi Mshauri wake wa masuala ya Ulinzi na Usalama, John Bolton

    "Kujiudhulu, wajiudhulu....." Aah wasomi na wachambuzi wa kisiasa wa bongo bwana hamjambo🤔🤔🤔🤔
Back
Top Bottom