Tangazo la kubadilishana kituo cha kazi

Rapidforce

Senior Member
Jun 25, 2019
105
84
TANGAZO LA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

Hodi! Kwa gt!

Mwalimu wa shule ya sekondari LULEMBELA, Halmashauri ya Wilaya Mbogwe, Mkoa wa Geita. Anatafuta Mwalimu wa Kubadilishana naye kituo cha kazi.

Mwalimu yeyote aliye Mkoa wa MARA katika Halmashauri zifuatazo,

Halmashauri ya wilaya Rorya na Halmashauri ya wilaya ya Tarime. Mnakaribishwa sana.

Mawasiliano:
Simu namba:
+255 742 567 453
+255 687 023 417
 
Hizi kitu za kubadirishana vituo vya kazi niliwahi kuziona miaka ya nyima huko facebook kumbe bado zipo.
 
Katibu mkuu utumishi katoa waraka hakuna haja yakutafta mtu wakubadilishana nae, serikali itaziba nafasi ulioiacha mbogwe cha msingi huko unakotaka kuhamia kuwe na nafasi.
 
Back
Top Bottom