Je, Makonda alisoma sheria ya ndoa,mirathi na ubakaji kabla yakupeleka mapendekezo?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Nimewaza sana sana nakuona kweli kazi tunayo kama taifa na wateule wa Rais.

Nilikuwa nasoma heria ya ndoa ,sheria ya mirath na Ya ubakaji 2002.

Kiukwe kama kweli hawa wanasheria wa Makonda wanlisoma vizuri basi kila kitu kimewekwa wazi hakuna mahali Mh makonda anweza sema analeta kitu kipya sheria imeweka wazi kila kitu.

Mfano sio kweli sheria hijasema kumdanganya mwanamke ni kosa lajinai tena inasema nisawa na ubakaji sasa shida ipo wapi? Tunarud pale pale badala yakutafuta sifa na kudandia magari kwa mbele tuwafundishe wananchi kuijuwa sheria nakutumia haki zao pata support.

Sheria na marekebisho yake hayana jambo jipya ila kutafuta kuonekana pamoja na kuingilia muimili mwingine.
Muda utawaambia
 
Kaka makonda mtumishi wa Mungu alinifurahisha temino kwa mahubiri yake na wosia. Hasa somo la Daudi na Huria na kuleta laana katika familia. Pia kuhusu mkwamo wa mambo na shughuli mwanaume anazofanya ikiwa anashiriki uzinzi na mke wa mtu.

Yani mfugaji ana kandama chake kimoja, bila huruma Wewe unakachukua kwa nguvu na kukachinja. Hio ni laana na dhambi kubwa hata kuitubu ni ngumu. ....mwisho wa nukuu isiyo rasmi.
 
Samahani Mkuu...
Ni kwamba hujui kuandika ama huwaga unaandika kama unakimbizwa ?
Uandishi wako ni Mbovu sana kama mtu anayejifunza Kuandika.
Kwa uandishi huu ni kweli utakuwa umeisoma na kuilewa hiyo sheria ya Ndoa, Mirathi na ya Ubakaji ?
Samahani Mkuu kama nitakuwa nimekukwaza
 
Walikutana Beijing wakaja na 50 kwa 50 naona hapa kwetu hamsini inataka kuongozewa 40 hili wapate 90 sisi tubaki na 10 wanawake wamekuwa jeuri sana ukimpiga vibao vitatu vya kumzindua akili dunia nzima inakulaani ata CNN unaweza kurushwa live ndio maana naogopa kuoa naweza kufanikiwa kimaisha mke akanitanguliza kwa Mungu yeye akaendelea kula raha na kiben ten chake maana sheria itampa kila kitu
 
Sheria ya UBAKAJI? Be serious. In Tanzania, we don't have such a kind of legislation unless it was made yesterday.
 
Nimewaza sana sana nakuona kweli kazi tunayo kama taifa na wateule wa Rais.

Nilikuwa nasoma heria ya ndoa ,sheria ya mirath na Ya ubakaji 2002.

Kiukwe kama kweli hawa wanasheria wa Makonda wanlisoma vizuri basi kila kitu kimewekwa wazi hakuna mahali Mh makonda anweza sema analeta kitu kipya sheria imeweka wazi kila kitu.

Mfano sio kweli sheria hijasema kumdanganya mwanamke ni kosa lajinai tena inasema nisawa na ubakaji sasa shida ipo wapi? Tunarud pale pale badala yakutafuta sifa na kudandia magari kwa mbele tuwafundishe wananchi kuijuwa sheria nakutumia haki zao pata support.

Sheria na marekebisho yake hayana jambo jipya ila kutafuta kuonekana pamoja na kuingilia muimili mwingine.
Muda utawaambia
Uandishi wako siyo mzuri!!
 
Kwaiyo unataka tukusaidieje na takataka mwenzako
 
Hatari sana...

Sheria nyingi sana zina m-favour mtoto wa kike au mwanamke... Kama sheria zikitiliwa mkazo haswa na kufuatwa ipasavyo...wanaume wengi sana tunaishia magerezani...

Cc: mahondaw
 
Kaka makonda mtumishi wa Mungu alinifurahisha temino kwa mahubiri yake na wosia. Hasa somo la Daudi na Huria na kuleta laana katika familia. Pia kuhusu mkwamo wa mambo na shughuli mwanaume anazofanya ikiwa anashiriki uzinzi na mke wa mtu.

Yani mfugaji ana kandama chake kimoja, bila huruma Wewe unakachukua kwa nguvu na kukachinja. Hio ni laana na dhambi kubwa hata kuitubu ni ngumu. ....mwisho wa nukuu isiyo rasmi.
Kama vile CCM ilivyolaaniwa, ina wabunge weeengi lakini bado inanunua wa upinzani wakiwa wagumu inawabambikia kesi au kuwatwanga risasi.
 
Muswada wa Makonda unapatokanaje? Je ni wa kiingereza au Kiswahili. Nataka kuusoma nijue anapendekeza nini ambacho hakipo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom