Recent content by RAPHAEL URASSA

  1. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Kombe la Afcon laibwa katika Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

    Hiyo ndio Africa. Dark Continent ndio ninaanza kuelewa dhana nzima ya kwa nini linaitwa bara la giza. Duh hatariiiiiiiii
  2. RAPHAEL URASSA

  3. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

    safi sana maana ingepingwa hiyo yangekuwa mengine. Ushauri ni kwamba tuwe tunarejea kanuni na sheria zilizowekww.
  4. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Sina uhakika kama TBC ni wajinga hivyo mpaka waandike huo upuuzi uliomalizia hapo chini.
  5. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

    hatua itakayofuata ni kukanusha kuwa hakuna ugonjwa wa UKIMWI.
  6. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mauaji ya Mwanza, Tanga wauawa Dar

    kwa kuwa wanaruhusa maalumu wauwe tu hatuna ujanja kweli hii serikali tena tutaburuzwa tu hakuna namna nyingine.
  7. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mauaji ya Mwanza, Tanga wauawa Dar

    kwa kuwa wanaruhusa maalumu wauwe tu hatuna ujanja kweli hii serikali tena tutaburuzwa tu hakuna namna nyingine.
  8. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwalimu msingi naomba kubadilisha kituo cha kazi yeye aje kahama mimi ninde kilimanjaro no.0768843285
  9. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan marries fellow man in USA

    swali je na kwa wale wanao wachezea wanawake kinyume cha maumbile yao nao vipi?
  10. RAPHAEL URASSA

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    hapa kazi tu. na wataisoma namba.
Back
Top Bottom