Recent content by Raphael Mtui

  1. R

    JamiiForums Tanzania BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia

    Sasa nimeelewa. Kuna hizi bei za online na bei za kwenye 'field'. Asante. Nilimpigia simu mdau wangu ambaye yuko huko akanipa majibu kama ya kwako kabisa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Hapana bhana. Mbona gramu leo ni 386,000? Hiyo bado ipo juu. Tena juu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Aisee!! Mungu atuvushe salama. Tunamhitaji Mungu kabisa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Nakubaliana na wewe. Mpe mtoto jina ambalo kwanza ni nadra, pili liwe lina-sound poa, tatu usitafute liwe na maana kubwa sana. Likiwa na hizo sifa mbili, hata kama linamaanisha jiwe, meza, shamba, inatosha. Mradi lisimaanishe kitu kibaya kama mwizi, mavi, shetani nk.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika msioe, ndoa imeangamiza ndoto na ndoa ni Janga

    Huyu ni nani wakuu?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuone jinsi Rais Kagame alivyodukua simu ya Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini na sababu za yeye kufanya hivyo

    Wakuu, katika makala yangu iliyopita tuliyojadili kuhusu programu hatari ya udukuzi kutoka Israeli iitwayo Pegasus, niligusia tukio hili kwa kulitaja tu, maana mwishoni mwa makala ile nilitaja wakuu wa nchi mbalimbali waliowahi kudukuliwa na programu hii. Kama nilivyosema, mnamo mwaka 2021...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Misiba ndani ya jiji La Tehran

    Asante kwa ujasusi huu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kitendo hiki cha MOSSAD kuiba nyaraka zenye siri zote za nyuklia ndani ya Tehran kinawafanya Israel waendelee kuitwa 'wachawi' wa ujasusi duniani

    Hawakuwepo. Walinzi hawakutakiwa kuwepo ili kuondoa attention. Ndio maana lilikuwa jengo baya, na limekaa pia mahali pa hovyo. Lingekuwa zuri, mara walinzi, tayari maswali yangeibuka kuwa kuna nini hapa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Pegasus, programu ya udukuzi kutoka Israeli iliyodukua wakuu wa nchi na ilivyohusika na mauaji ya Jamal Kashoggi

    Asante. Ni hapo tu umeikwepa. Tena kwa mawasiliano ya mtu mmoja tu. Vipi calls, camera, microphone, GPS, etc.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Pegasus, programu ya udukuzi kutoka Israeli iliyodukua wakuu wa nchi na ilivyohusika na mauaji ya Jamal Kashoggi

    Fikiri mfano huu: umeshika simu yako, ghafla tu unasikia imeita, kabla hata hujapokea inakatwa. Unaachana nayo. Hujabonyeza chochote. Lakini!! Simu yako ndio imeshadukuliwa hivyo!! Meseji zako zote za kawaida na za whatsapp, zinasomwa. E-mails zako zote zinasomwa! Simu zako zote zinasikilizwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kitendo hiki cha MOSSAD kuiba nyaraka zenye siri zote za nyuklia ndani ya Tehran kinawafanya Israel waendelee kuitwa 'wachawi' wa ujasusi duniani

    Operesheni ya Nyaraka za Kinyuklia za Iran ya mwaka 2018 ni moja ya misheni za kusisimua mno na za kijasiri zaidi katika historia ya kintelijensia ya Mossad. Huu ni uvamizi wa usiku mmoja, ambapo majasusi wa Israel waliingia ndani kabisa ya mji mkuu wa Iran, Tehran, na kuondoka na nusu tani ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)

    Ubarikiwe sana. Very true content.
Back
Top Bottom