Recent content by raoka kubanda

 1. raoka kubanda

  Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

  nashukur pia lakin hiyo tovuti inahusika na maombi ya ajira za ualimu sio maombi ya kusoma ualimu
 2. raoka kubanda

  Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

  Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
 3. raoka kubanda

  Wenzangu mnafanikiwa kufanya application NACTE?

  Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
 4. raoka kubanda

  Msaada wa kupata joining Instruction Chuo cha Mipango Mwanza

  Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
 5. raoka kubanda

  HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

  teh hatuwezi kupata mawazo mapya bwana kaka kama tutakuwa na utamaduni wa kufikiria kuwa kilichopo ndio ALFA na OMEGA. Dunia isingefika hapa ilipo bwana ndugu.
 6. raoka kubanda

  HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

  ndugu yangu ngoja nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kuutumia muda wako japo kufikiria kitu ambacho ni fact na kina ukweli ndani yake. teh serikali buana
 7. raoka kubanda

  Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

  Narudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa ......... duh kweli kasheshe nikazani ni kwa siku tatu imezid sana wiki kama ilivyokuwa mwanzo kumbe 10days kbs inabd niwe mpole
 8. raoka kubanda

  Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

  Mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Sita nahitaji kufanya uhakiki kwa cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo lakini mfumo wa RITA wa mwaka huu umenishinda. Mwaka jana nilifanya kupitia uhakiki Portal. Kama kuna yoyote aliyefanya maombi hayo nakufanikiwa anisaidie tafadhali.
 9. raoka kubanda

  Mwenye tetesi kuhusu batch three

  aisee mimi sijapata kuelewa pahala.............! nimeingia kwenye account na nilichokikuta ni kwamba your not selected in both bach 1 and 2. swali....... sasa kama bach 3 imetoka kwann wakomee kuandika bach 1&2
 10. raoka kubanda

  NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI WADAU

  nahitaji msaada kuhusu vyuo vizuri vya serikali vinavyotoa kozi ya secretarial. na je naweza kufanya application kwa mwezi huu au muda bado
 11. raoka kubanda

  WATU WA IT NA WENYE UELEWA KUHUSU COMPUTER NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI

  naoma kuuliza kuhusu software iitwayo GSM FLASHER TOOL ufanyaji kazi wake hitaji langu katika program hiyo ni kuflash cmu...
 12. raoka kubanda

  Naombeni msaada kuhusu hili tangazo la RITA

  Nataka kuuliza kwamba kwa waombaji wa mikopo tunaoishi vijijin/maeneo yasiyokuw na huduma za kibenki je kuna namna ya kufanya malipo kwa njia ya simu
Top Bottom