Recent content by ranjan

  1. R

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Mkipigwa kipapai muanze kulalamika
  2. R

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Hii kampuni Wana tabia hii ya kudhulumu watu , unaweza ukafanya kazi ,baada ya malipo wanakulipa kisichostahili. yaani mtu akufanyie kazi alafu umuweke miezi mitano hujamlipa, huu ni uuaji
  3. R

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Kwanza kabisa serikali ingeingilia kati hizi kampuni uchwara zinazovaa mwamvuli wa kufanya research zinazoibuka from know where na kutapeli watoto wa watu, kwa kuwafanyisha kazi kwa shida bila kuwapa malipo baada ya kumaliza kazi. REDIFINE AFRICA huwafanyisha kazi watoto wa kike kwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Hii habari alikusimulia hamisa mwenyewe au moo? Maanà umeongea as if ulikuwa mshikaji mmguu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni muhimu mkatambua hili

    Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:- 1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe. 2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze. 3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe. Uzi tayari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Dalali wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk

    Mk Mkuu ukitaka kufika huko unapanda gari za kwenda wapi?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Mkuu alitabiri Nini?
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Alifanyaje huyo baharia wa 7800?nilink kwenye Hiyo thread nikajionee tafadhal
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Nikapime nn?
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Mkuu wewe ungempa ngapi?
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Nimtumie vipi wakati sijamuita tena
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    😊😊mkuu angalau umenitia moyo
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Mkuu usinionee Mimi si mpare
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimueleweje?

    Mdada ni high class Sana Tena bonge la sister du,kwa Sasa ameni unblock tunaoeana salaam ila naskia aibu kumuita kipasha kiporo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

    Ni changam changamoto saana
Back
Top Bottom