Ina maana unataka kutuambia elimu haihusiki kwenye uongozi wa nchi? You are not serious... Tell me that you are just joking. Kizazi hike unawake kukifananisha na cha mirambo?? Are you crazy? duh! mtu mwenye elimu ya kukatakata njiani ataweza kusaini mkataba wowote kwa makini kweli? Au unafikiri...
"What a shameful nation full of resources but rich of boguses!" - Bondpost wa Jamiiforums
Uliyeandika hiyo Comment hapo juu una wazimu wewe! yaani barabara kupanuliwa ili kurahisisha usafiri unaita Bogus? Una wazimu na wendawazimu wewe!!
Im Sick and tired of lazy Tanzanians who thinks that everything wrong in our country should be fixed by our government.
Hivi wewe unapojenga mabondeni unategemea nini? wakati Makamba alipokuwa mkuu wa mkoa alipoagiza watu wote waliojenga mabondeni wahame ama sivyo serikali itabomoa nyumba zao si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.