Sijaona ubaya wa alichokisema lwakatare katika ile video, afadhali yeye amepinga sana mambo ya uuaji na kutesa watu anachosema ni kwamba alitaka wamtishie mtu anayewavuga, which means huyu jamaa hana roho ya kikatili kama wanasiasa wetu wa chama tawala waliomwagia sumu mwakyembe na mwandosya na baadhi ya mapolisi wetu kama wale walioua jamaa wa mahenge na ku assasinate mwangosi, kinachoikuza ishu ya lwakatare ni kwaba yeye amekamatwa wakati wengine hawajakamatwa, bado namuamini lwakatare nimempa kura yangu alipokuwa cuf na alipohamia chadema na akirudi tena kugombea ntakwenda bukoba kupiga kura tena
ukienda utapewa talaka na mabwana zako wezi na majangili. Utakosa uhondo ehh!! jina la kiume mawazo ya ki-sh-o-ga!Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.
Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.