shule nzuri mbeya nzima kwa sasa mi UWATA BOYS na HARRISON UWATA GIRLS..
kwa olevl na advance ni shule nzur na kisasa..
sio za zaman sana labda ndo maana watu hawajazitaja..
kw
pitia matokeo yao utakubaliana na mimi.
Hizo zingine zilikuwa nzur zaman kwa sasa ni uwata tuu
Duu dunian kuna mambo meng na magumu.
kuna mida huwa na his et me ndo ninapitia katika hali ngumu kimaisha..
Mungu wangu kumbe kuna watu sijawafikia hata robo yao.
Nimejifunza kitu kutoka kwako. Pole kwa yote.
kukataliwa kuna uma kwel c uliona mchumipesa nae alivo weweseka kwa mtoto mzur teh teh...
Ila dem atakuwa hajakuelewa yaan umekuwa tofaut na matarajio yake.
Hahahaaaaaaaaaa we unataka mabint zetu wakagegedwe nini..
u can't be serious..
Af wizara yenyewe et wamechimba bit hakutakuwa na nafas ya kubadilisha.
poor them.
kwa hiyo elimu yake me nashaur aende jwtz.
Kwa sababu uhamiaj wanaopata hizo deal za pasport na wahamiaj haram mara nying ni wale wasio na vyeo (form 4 & 6) sa ye na degree yake lazma atakuwa boss na uboss michongo inapungua tho sijajua mshahara ni kias gan.
Asije jikuta anategemea mshahara tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.