Kukataliwa kunauma

Kukataliwa kunauma

Tatizo pocha ulituma zisizo halisi ndo maana alipokuona akaona uhalisi wako akasepa
 
Loooh! Mmekutana mitandaon alaf unaumia... Je kama jini??? Akili kumkichwa
 
Looool mwanamke anatakiwa akupende yeye usimtengenezee mazingira ya yeye kukupenda tena ikibid J-mosi mtokee ukiwa raf raf - Usijilize lize kwake kutafta sabab kama hakupend hakupendi tu USIJARIB KUMTAKA AKUHURUMIE utateseka mpaka ushangae - Wanawake wana mengi mwache aendelee na safari labda wewe automaticaly sio mwanaume alieko akilin mwake / ndoto zake hawa viumbe noma mno - Hakikisha humtegi itakucost

Daah bro nimekuelewa sana hv viumbe sio kabisa
 
Mie ndio hapo nawaambiaga mapenzi ya kuigiza siyawezi! Ameshakuambia hakutaki then bado unapanga kukutana naye, for what?

1) Waweza kwenda sehemu mliyokubaliana na asije!
2) Anaweza akaja na still ukatumia gharama kwa kukuambia ndio na ukafurahi sana but hauwezi kuomba game siku hiyo hiyo na ukithubutu kujaribu jibu ni kwani haraka ya nini?
3) Baada ya kutoboka then kuachwa kuko palepale!
4) Ameshakataa, unapolazimisha waweza pata hifadhi ya muda but siku ukimkuta na ampendaye usirushe ngumi kwani vijana wadogo mna matatizo sana.

Hitimisho; mimi ni mfuasi sana wa wale wanaoniambia ukweli mapema kabisa kwani haiwezi kukupotezea muda kabisa, kuliko kufungishwa tera ndefu huku akakaa na wenzake story zote kwa kijana mwanaume mwingine sio wewe.

Punguza kuchat nae uone kama anamaanisha au laa! Asubuhi mpe hi then piga kimya, mchana hvyo hvyo. Jioni ufanye analysis amejibu ngap na kwa muda gani.

Boy:Hi baby at 8:30am
Girl:K au P at 1200 noon.
Boy:Mchana mwema at 1445 hrs
Girl:Thanx at 1756hrs.
Boy:Mbona unachelewa kureply?
Girl:Sina mb.
Muda huo wote ukimchek mara online mara typing hapo dogo pita KULEEEEEEE.

Mapenzi hayana mwenyewe!
 
Unapoongea na mtu kwenye simu, kabla ya kuonana, chochote utakachomuelezea hata kama ni cha kweli, yeye binafsi hujenga taswira yake aitegemeayo yeye. Na kuna vitu ambazo havielezeki mpaka baada ya kuonana. Ni kama... kunuka mdomo, kunuka kwapa, uchafu wa mwili na nguo, ulaji mbaya na kukosa ushawishi.
 
mwsho mkumbshe atafute hela kwa nguvu...na gari...nafkiri koloni lake litarudi.

Hahaha kwani binti Hakujua kama mshkaji hana ndinga? Me nahisi dada hajazielewa swagga za mshkaji. Anyway tusubirie wakikutana tena hiyo jmoc ndo atajua what went wrong
 
kukataliwa kuna uma kwel c uliona mchumipesa nae alivo weweseka kwa mtoto mzur teh teh...
Ila dem atakuwa hajakuelewa yaan umekuwa tofaut na matarajio yake.
 
Kwanza napenda kuwashukuru sana wana jf wenzangu kwa ushauri wenu wote mlonipa!!Jambo nililolifanya ni
1)kumtumia msg kwamba"Japo moyo wake haujanipenda bado nitaendelea kumpenda" kipindi hichi nakichukulia kama kanipa mtihan kwangu!!sitawasiliana nae tena,namba na picha nimefuta ili kumsahau
2)Nimeona nisiende kuonana nae hio jmoc kwani ni kama kwenda kuongeza maumivu hakuna jipya atakalonambia na hata kama akikubali ni kwa kunionea huruma tu!!
3)Badala yake hio jmoc nitasafiri kuelekea dar ili niwe mbali kabisa na huu mkoa nikatulize kichwa changu kwan nikiendelea kuwepo maumivu yanazidi roho ka vile inaniambia nimfwate tena!!
4)Hata akinitafuta sitoonyesha kumjali kama nilivyokuwa namjali mwanzo
Ni hayo tu kwa akili yangu inavyonituma ni kama alikuwa akinizuga mda wote tukiwa twawasiliana kupitia whatsapp na msg basi nia yake ni kupata mtu wa kumpa kampan na ushauri tu wakat wote tukiwa pamoja
 
Hahaha kwani binti Hakujua kama mshkaji hana ndinga? Me nahisi dada hajazielewa swagga za mshkaji. Anyway tusubirie wakikutana tena hiyo jmoc ndo atajua what went wrong

mrejesho ukirid...uwe wa 1 kuni julisha...!!! kwa style hii nakata tamaa na.mm yakuja vuta wife.
 
mrejesho ukirid...uwe wa 1 kuni julisha...!!! kwa style hii nakata tamaa na.mm yakuja vuta wife.

Teh teh ntaku-update. Aah Kila mtu atampata mwenzi wake kwa style yake. Wapo waliofanikiwa na hizi blind dates, na wengine zilifail. So relax, wako atakuja tu kwa njia yake
 
Mbona kama ulipendeza tu.......labda hizo raba zilikuwaje.....?.....isije kuwa zile ulimi nje.......au mkate boflo........unajua swala la viatu wadada tunaangalia sana.........
Lakini kwa maelezo yako.......nadhani ulipendeza........dada tu anataka kukuletea tashtiti......we kutana nae hiyo jumamosi.......halafu uje utuambie kasemaje.........
Usisahau kunitag........sawa eeeh.......

we mwanamke una vituko sana. but napenda style yako ya uandishi
 
Kwanza napenda kuwashukuru sana wana jf wenzangu kwa ushauri wenu wote mlonipa!!Jambo nililolifanya ni
1)kumtumia msg kwamba"Japo moyo wake haujanipenda bado nitaendelea kumpenda" kipindi hichi nakichukulia kama kanipa mtihan kwangu!!sitawasiliana nae tena,namba na picha nimefuta ili kumsahau
2)Nimeona nisiende kuonana nae hio jmoc kwani ni kama kwenda kuongeza maumivu hakuna jipya atakalonambia na hata kama akikubali ni kwa kunionea huruma tu!!
3)Badala yake hio jmoc nitasafiri kuelekea dar ili niwe mbali kabisa na huu mkoa nikatulize kichwa changu kwan nikiendelea kuwepo maumivu yanazidi roho ka vile inaniambia nimfwate tena!!
4)Hata akinitafuta sitoonyesha kumjali kama nilivyokuwa namjali mwanzo
Ni hayo tu kwa akili yangu inavyonituma ni kama alikuwa akinizuga mda wote tukiwa twawasiliana kupitia whatsapp na msg basi nia yake ni kupata mtu wa kumpa kampan na ushauri tu wakat wote tukiwa pamoja

Ukifika Dar nitafute nikupeleke baharini ukatoe nuksi.
 
Back
Top Bottom