mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Ni dada wa miaka 21 mwaminifu na mchangamfu
Ana uzoefu wa kufanya kazi saluni ya kike
Ameniomba nimuwekee uzi huku maana amehangaika sana kupata kazi inakua ngumu
Saluni aliofanya mwanzo ilifungwa ivo saivi yupo tuu nyumbani
Anauwezo wa kuuza duka pia kama la vyakula au stationery ila hachagui
Wasiliana nami kupitia
boybeybe@gmail.com
Au nitumie meseji whats app 0786371108
Mungu awabariki