Recent content by Ramuz_store

  1. Ramuz_store

    KERO Hospital za serikali kunashida gani kila siku hakuna Dawa, mnaagaza wagonjwa wakanunue Kwenye maduka ya Dawa ya nje

    Nimesikitika sana leo nimeona nije ku share kidogo JF, Wazazi nimewakatia Bima NHIF Standard, shida kila wakienda kutibiwa naambiwa wamekosa dawa wakanunue dawa Pharmacy za nje, nawatumia hela, Sasa leo nimewaambia wanitumie picha ya hizo dawa nilichoona hadi nikaishiwa pozi, hospitali ya...
  2. Ramuz_store

    JWTZ latangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu habari, hivi jina likipita utapigiwa cm au barua?
  3. Ramuz_store

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duuh mbona hatari hii..
  4. Ramuz_store

    Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

    Ambae amejaribu ku register kwa mfumo atujuze
  5. Ramuz_store

    Msaada: Aquos sense 5G laini inasoma emergency call only

    Habari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie IMEI akanitumia PIN ikakubali, baada ya hapo Nika reset shida tena ikaanza kwenye kusoma lain, muda...
  6. Ramuz_store

    Hukumu ya kifo ya mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kiswahili

    Mmmmmhhhhhhhhhhh... Kujua sheria nimuhimu sanaaa.., nimejifunza vitu vingi sana. Shukrani kwa ku post JF
  7. Ramuz_store

    Malengo yangu ni kuandaa miche 20,000 ya michungwa

    Nahitaji kuanza kilimo cha machungwa Tanga, jamaa nae mtegemea kama mwenyeji wangu huko kilasiku ananirudi, naomba msaada na muongozo wako Mkuu
  8. Ramuz_store

    Magonjwa ya Miembe

    Habari, mpambanaji.
  9. Ramuz_store

    Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Mkuu za ww nashida nawe, kama hutojali nipe namba zako au nicheki 0659705170
  10. Ramuz_store

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Mkuu naomba nisaidie soft copy yake/attach file. Mungu akubariki🙏
Back
Top Bottom