Recent content by Rammyq

  1. Rammyq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauguzi wenye Shahada Tanzania tunafanya kazi ngumu zisizoendana na malipo yetu. Inakatisha tamaa sana

    Kwenye miundo na maslahi ya watumishi Tanzania bado ni changamoto sana, sku izi ishakuwa kawaida hata watu waliosoma kozi moja na wanafanya kazi Taasisi Moja lakini scale ya mishahara inakuwa tofauti mfano mtu aliesoma sociology akiajiriwa kama Afisa Maendeleo ya Jamii ataanza na TGS D lakini...
  2. Rammyq

    JamiiForums Tanzania 'Wasomi' Wanawaachia Watoto Wao Umaskini Kisa Kulisha Ndugu Wenye Watu Wazima Wavivu?

    Jinsi kaka zangu walivyonisaidia halafu nijipate nisisaidie watoto wake? Huo umaskini nao acha uniue tu,SIWEZI
  3. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Kuipenya Law School of Tanzania (LST) – Hizi Ndizo “Code” Zilizoniokoa, Huenda Zikakuokoa Pia

    Abdul Said Naumanga una maoni Gani juu ya makarani walioapishwa Leo kuwa mawakili eti tu kwa sababu Wana degree za Sheria bila kupita law school Wala kufanya bar exams? Tutegemee nini baada ya makarani kupewa uwakili wa kwenye sahani ili tu wawe mahakimu? Tutegemee hukumu za namna gani? Je...
  4. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    💯
  5. Rammyq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Hapo ukitoa 50K unapata hiyo control number unaipata siku hiyo hiyo wenyewe wanaiita facilitation fee..........wanatumia gap la waombaji kuwa wengi kujinufaisha, nina uzoefu nao
  6. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu najaribu kufungua account ya Ajira portal ila Kila nikiweka NIDA inazunguka tu then inarud plain, tatizo lnaweza kuwa nini
  7. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba mnaenda kugomea hii Derby, mtakuwa mmeigomea Mamlaka kuu ya Nchi

    Nyuma mwiko wametengeneza hoja kwenye kitabu kikubwa
  8. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Vijana pitieni TAUSI portal mtakuja kunishukuru

    Baada ya kukamilisha malipo, kinachofuata ni nini wakuu
  9. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Mliotoboa Law School Mlifanyaje Wenzangu?

    Hicho lazima kiwe kimeo cha civil
  10. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Good things ni kwamba wazazi nao wanachangia....Kuna dada mmoja anasoma MUCe Ile kapata tu admission mama na dada ake wakaanza kumuusia ajitahidi mpaka anamaliza chuo awe amepata mtu anaeeleweka (Financial Stable) ili akimaliza asirudi nyumbani.....imagine such mentality
  11. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Uzuri hamna kesi ya maana wamewahi shinda
  12. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Rahisi tu, kama sio muhimu kanuni hiyo iondolewe,wanachofanya Simba ni kusimamia kanuni jambo ambalo naliunga mkono
  13. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Vijana pitieni TAUSI portal mtakuja kunishukuru

    Napata tabu sana kutengeneza hii account...... muongozo tafadhali
  14. Rammyq

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kikaguzi hapo fedha uliyobajetia uweke kwenye Devo fund umetumia kulipia deni la mwaka wa fedha uliopita......kihasibu haijakaa sawa na usipomla utapata hoja za ukaguzi
Back
Top Bottom