Recent content by Ramadhani Kapenga

  1. R

    JamiiForums Tanzania UMEME MWANZA SASA UMEKUWA WA UHAKIKA

    Professor Muhongo huwa anamaintain status quo yake. Kikwete na Magufuli kwa kweli wamepatia katika uteuzi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kova: Jerry Muro kuchunguzwa kwa hate crimes dhidi ALBINO. Ashangazwa na kimya cha DRFA na TFF

    Na ashitakiwe tu kwa hizo comments zake ubaguzi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Mkuu wala usiumize kichwa. Kwani ulikuwa hufahamu kuwa huyo bwana ana matatizo ya inferiority complex tokea siku nyingi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    Kama tulipewa huo msaada kipindi kile, tumeshindwaje kutimiza masharti yale? Kama haturidhiki nayo tuachane na tusilalamike. Mtaka cha uvunguni shariti ainame!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Makonda katika ubora wake!

    Kusema kweli huyu kijana kajitahidi kuonyesha njia kama kiongozi kinyume na umri wake ukilinganisha na wengi wa ma DC waliopo. Makonda, thumbs up
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua GPS

    GPS inasimamia kirefu cha Global Positioning System ambacho hukusaidia kukuonyesha popote ulipo kwa kutumia co-ordinates, yaani Northing na Southing. Zinauzwa madukani sehemu mbali mbali. Maeneo ya kanda ya ziwa zinapatikana hapo Mwanza Hotel shop moja. Fika ucheki bei
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Habari yako hii is too skeletal. Fafanua zaidi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa anayejua soko la Lodlight na Green Tourmarine

    Mkuu labda nikusahihishe kidogo. Haya madini yanajulikana kama green touraline na rodolite. ukitaka kujua kuhusu soko wasiliana na ofisa madini hapo Arusha au ofisi ya Madini iliyo karibu nawe.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa jijini Mwanza, mabomu ya machozi yarindima

    Mbona unatuchanganya? Tukio limetokea Misungwi lakini vurugu zifanyiwe Mwanza.
  10. R

    JamiiForums Tanzania NEC hoi, itaharibu mambo

    Naye pia ni tatizo kubwa. Njaa na kukosa integrity ndivyo vinamuongoza. La sivyo angeshajiuzuru zamani kutokana na hali inavyoendelea.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Nakuunga mkono mkuu. Naikubali sana na mimi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi wasomali asili yao ni wapi?

    Wengi wao walitokea Yemen na Ethiopia.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tambo za waziri Muhongo

    Hili ni jembe katika serikali ya Kikwete. Wengi wetu tumezoea kudanganywa hatutaki kuambiwa ukweli. Hao wanaodai viwanja vya mafuta wataendelezaje hivyo viwanja iwapo viwanja vya vito na dhahabu wameshindwa hata kuviendeleza achilia kulipia annual rents
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mifupa tafadhali

    Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kura ya wazi itawaumbua CCM

    Sawa kabisa Mkuu hivyo ndivyo inavyopasa iwe
Back
Top Bottom