Nimemshukuru sana Mhe. Muhongo sasa hivi hapa Mwanza umeme umekuwa wa uhakika. Tuna siku kama nne umeme haujakatika na hii imekuwa faraja kubwa ikichukuliwa kuwa umeme ndiyo kila kitu katika maisha ya binadamu. Hii ni aibu kubwa kwa Serikali ya awamu ya nne. HONGERA SANA PROFESA MUHONGO.