Hiyo syo kweli uislamu ndo dini inayojali watu kuwa na aman na kutunza heshima zao hao unaoona wanalipua makanisa wameuacha uislamu ulio wa swa na wanafuata matamanio yao tu na hakuna katika nchi za kikristo kuna uhuru wa kuabudu kwan wao ndo wenye kuwadharirisha waislamu na kuwanyima uhuru wao...
Ewe msomaj wa JF naomba uniambie kati ya furaha na pesa kipi ni sababu ya kupatikana kwa mwenzake?
Kwa maana je, furaha ni sababu ya kupata pesa au pesa ni sababu ya kupata furaha?
Naomba maoni na hoja zako.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Cha Mipango Dodoma nina nia ya dhati ya kutaka kuanzisha na baadae kuwa na JUKWAA kubwa la TAFITI Tanzania hivyo naomba mnishauri mwenzenu nifanyaje au nitumie njia gani niweze kufanikisha hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.