Ramadhani Dugange
Member
- Oct 18, 2022
- 12
- 5
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Cha Mipango Dodoma nina nia ya dhati ya kutaka kuanzisha na baadae kuwa na JUKWAA kubwa la TAFITI Tanzania hivyo naomba mnishauri mwenzenu nifanyaje au nitumie njia gani niweze kufanikisha hilo.