Recent content by Ramadhan Hosseni

  1. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

    Kwo kumb analazimisha kupendwa wakati hapendwi
  2. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Video: Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda

    Kiukweli hizi n propaganda za kuuchafua uislam na huyo shekh ana mamlaka gani kutoa agizo hilo coz hata angekuwa shekh mkuu hawez toa tamko hilo kwa kuwa halina hoja ya msingi halafu kuhusu suala la mtume kufanya mapenz na bi Aisha ni propaganda za kumchafua Aisha nakushauri ukipata time kaa...
  3. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa “Ze Comedy” ambayo ilisamamisha nchi ilipofika saa moja jioni

    Aaahh hawa jamaaa walitisha ile mbaya
  4. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bei elekezi ya ARV ni Tsh. 76,000 baada ya USAID kusitisha misaada

    Kama ikitokea dawa zikawa bei ghali kiasi hicho tutazika sana maaana asilimia kubwa wenye vvu na ukimwa ni hohehahe daaahh mungu tusaidie
  5. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Tatizo utoto umejaaa ukijiona huna haja ya kuoa bac ujue wewe bado n mtoto maaana kipimo kizuri cha ukubwa ujue kuwa kuna somebody anakutegemea na hata uwe na umri wa miaka mingapi kama bado hujaona kichwan mwako kuna kautoto flan iv
  6. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

    Kwo sisi wafupi hatuna tulipo
  7. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Kweli mkuu maaana unaweza jikuta umemzoea mno unajikita wawaza2 hiv huyu anaeza ninyima kweli wajisema hawawezi unamtongoza anakunyima daaaahh
  8. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Maghorofa 64 hatarini kuanguka Kariakoo

    Tatizo njaaa ndo zimekithiri kwa wabongo maaana kama n miezi mi3 imepita na bado wamiliki wa majengo hawana time ya kifanyia tathmini majengo yao tutakufa2 maaana Hawa wamiliki wapo na jambo moja2 kuchimba underground Ili waongeze frem kwo hili haliwezi Isha otherwise kiama kisimame
  9. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Hongea mkuu
  10. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Buguruni, Dar: Mtoto wa miaka 10 akutwa amejinyonga chumbani kwake

    Siku zake ailishaisha kwo kujinyonga n 7bu ya umauti wake2 ijapokuwa inauma lakin ndo ishatokea
  11. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii siyo sawa, unawapa Taifa Stars Tsh milioni 700 na kuna shule zina hali mbaya

    Bora shule ninayofundisha kumbe wakat nilikuwa naona shule yangu Iko mahututi kumbe kuna inayokata roho
  12. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Tatizo njaaa hata mie kama ubao umenikamata ningepakua msosi kwanza mengine yanaonheleka
  13. Ramadhan Hosseni

    JamiiForums Tanzania Misiba bado ina nguvu sana Afrika

    Nlishawahi shuhudia jamaa alikuwa akienda msibani alikuwa na yabia ya kutokula chakula kilicho andaliwa huku akisema mm nimekula vingi sana Sina kitu ambacho sijala siku anafariki kilipikwa chakula kingi mno watu wakazika halafu waondoka huku wakisema tumekula vingi sana kwo hiyo n kweli broo...
Back
Top Bottom