Recent content by Ralph Feksi

  1. R

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Good, hiyo ndio kauli ya msemaji wa chama. nilionya aliyeanzisha ile thread ni mchonganishi. Ahsante hon. Zitto kwa ufafanuzi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Zitto kufanya ziara ya kichama na Msafiri Mtemelwa mikoa mitano nchini

    Wewe msemaji wa chama?? Ama mchonganishi??
  3. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ziara ya kichama ya Dr. Webiro (CHADEMA) jimboni Bunda mjini yavuna 5,482 wapya

    Jumla ya wakazi wa Bunda (2010) ni 822,198; kati yao wanaCDM wapya ni 5,482.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Mmesahau ya Mkapa kwa jaji Kisanga wakati wa white paper???
  5. R

    JamiiForums Tanzania Africa's Female Political Power Players: Halima Mdee, Elsie Kanza ndani!

    Hongera sana Madam Hon. Mdee. Huyu anafaa kuwa spika.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Hii ni habari njema. Ushahidi ulikuwa wazi sana hivyo mahakama imetekeleza wajibu wake.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

    Ah! Jamaa kaibuka! Naona anaosha nyota. Too late.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa+Mbowe+Zitto Kabwe CCM haiwezi kupona 2015!

    Sikupingi. Ila timu ya CDM ni kubwa na ya uhakika.Kikubwa watu waone bendera watakusanyika na kusikiliza ujumbe wa ukombozi.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania haihitaji takwimu hizi?

    Wana JF. Miongoni mwa babari zilizogonga vichwa vya habari leo ni kuhusu umuhimu wa kupata idadi ya waumini wa dini mbalimbali katika sensa ijayo. Ingawa serikali na baadhi ya vingozi wanasema si muhimu kuwa na takwimu hizo lakini hivi ni kweli hazihitajiki? Kweli si vema kujua Tanzania kuna...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Du! Dactari wa sheria mh. Mw..ky..ebe kaingia wizarani kwa kasi na hata kwenye mkutano wa leo tumemwona na kumsikia lakini akumbuke kwa kasi hiyo ndani ya nyinyiem hatafika mbali.Wangapi wamekwama? Kama hajui akamwulize Lyt..nga. Labda aje huku CDM.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Vua gamba vaa gwanda: Heche aisambaratisha ngome ya Kilango Same

    Oh! wonderful. Jamani hii gharika ya same ilikuwa lini? Hongera viongozi wa BAVICHA.,CDM.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Intro

    Hi! nanafurahi kuwa member wa jamii ya Wana-Jamii forums. Kama new member ninalazimika kujifunza mambo yanavyoenda hapa. Hata hivyo kwa muda mfupi ambao nimetembelea forum nimefurahia sana. Big Up sana wana JAMII FORUMS.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Into

    Hi! nanafurahi kuwa member wa jamii ya Wana-Jamii forums. Kama new member ninalazimika kujifunza mambo yanavyoenda hapa. Hata hivyo kwa muda mfupi ambao nimetembelea forum nimefurahia sana. Big Up sana wana JAMII FORUMS.
Back
Top Bottom