Kwa hili wanasema watakaonufaika na hii lump sum ni wale watakaoanza kuchukua pesa zao mwaka huu na kwa wale wa miaka ya nyuma sharti uwe hujawahi chukua kwa mfumo wa 33% ila kama ulilipwa kwa mfumo huo basi unatakiwa usubiri miezi 18 ndipo ukatoe mzigo wote.
Mambo vipi wadau?
Heri ya pasaka pili!
Kuna group moja la telegram lenye hilo jina la Aliexpress 605 ambalo linatoa kazi za online hasa kuhusu bidhaa zinazopostiwa kwenye website au app ya Aliexpress ambapo kwa maelezo yao ukikamilisha kazi fulani kama labda kulike bidhaa fulani na kuiweka...
Nimecheka sana na comment za wadau, anyway manual ni kati ya gari nzuri sana na hata ukiendesha unahisi kabisa uko engaged na gari yako, binafsi sijaenda driving school hata kwa bahata mbaya ila nilijifunza auto na manual kupitia youtube na hadi sasa naendesha manual na wala sifikirii kuiacha...
Habari ya muda huu wadau, gari yangu aina ya subaru legacy manual transmission inahitaji kubadilishwa clutch master cylinder, kwa wale wajuzi hii kitu naweza kuipata kwa bei gani?
Natanguliza shukrani zangu
Mimi niko comfortable either way inategemeana tu na speed niliyonayo na njia ilivyo. Kuendesha kwa mkono mmoja inaweza ikawa salama au si salama kulingana na mwendo unaotembea nao na mkono wako umeuweka kwenye position ipi katika usukani wako.
Boss kuna Nissan liberty moja nahisi ina mojawapo ya hizo changamoto, yenyewe injini ikiwa imepoa ukawasha inaondoka fresh inachange gear kama kawaida but ikishapata joto inajirudisha kwenye gear No. 1 au 2 hata kama upo speed kiasi gani, hapo ishu inaweza ikawa nini maana hata kutembelea...
Kawaida sana hii, ingawa sio ya kufanya kimazoea ila ikitokea mfukoni hamna kitu na inabidi utoke na gari lina wese wewe piga moyo konde ingia road kibishi, mimi nisipokuwa na kitu mfukoni siku hiyo nakuwa ni dereva bora macho yote yanaangalia vibao barabarani sifanyi kosa kiboya ingawa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.