Recent content by rajoh

  1. R

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

    Mkuu nimelipenda kochi ila punguza kidogo. Nakupigia!
  2. R

    JamiiForums Tanzania SOLD: Kiwanja kinauzwa (Chanika) kwa malipo ya awamu nne

    Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Ndio maana nikasema inahitaji block nyingine
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Ndio moshi kwa sababu ya kutanuka block
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Mkuu kabla ya kununua si unajiridhisha mwenyewe... Chombo bado kipo vizuri tu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe! Kujenga si kazi ngumu kama unavyohofu

    Somo zuri mkuu. Kinachorudisha nyuma wengi kwenye ujenzi ni kusubiri mpaka pale ambapo watapata pesa ya kutosha kujenga Nyumba nzima. Kumbe nyumba hujengwa pole pole tu, kwa kile kidogo kinachopatikana hata kama ni elfu 50
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Mkuu sijawahi kuhangaika na matengenezo ya block. Fundi alivyosema block imekufa nikamwambia kijana aipak
  8. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Sijawahi kuuliza bei yake lakini unaweza pata majibu kwa urahisi maduka ya vifaa vya pikipiki
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Ndio
  10. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Aina: Boxer BM150 Tatizo: Block imetanuka, inahitaji block nyingine. Bei: Tsh. 500,000 Mahali ilipo: Kijichi, Dar Mmiliki: Ni Mimi mwenyewe Mawasiliano: 0712518886
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Tumia RUNGU
  12. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara linauzwa

    Nadhan bado anaota
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, yupi mwanaume bora, mwenye kuongeza mke wa pili au mwenye kuchepuka?

    Sahihi kabisa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Njoo tukuchimbie kisima kwa gharama nafuu

    Gharama nafuu ni kiasi gani? Elfu 6, laki 1 ama?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Njoo nikutangazie bidhaa unazouza instagram

    Page ina jina gani?
Back
Top Bottom